Search results

  1. F

    Nchi hii ni ya matukio?

    Kwanini hii nchi inaendeshwa na matukio kiasi hiki? hivi tatizo hasa hapa ni nini? kwani tu wepesi sana kusahau na kuingia mkenga kusko yaani siasa ni kila kona na kila mtu amefuzu mbwembwe kwa sasa? kunani hasa? Hata dawa ya Mchg. Mwasapile watu wanaleta propaganda jamani jamani? tutafika kweli?
  2. F

    Elections 2010 kuchamba kwingi....!!!

    Niwazi kuwa whenga hawakukosea kusema kuwa KUCHAMBA KWINGI MWISHO UTASHIKA HAJA KUBWA. maana yangu hapa nikuwa kura zishapigwa na matokeo ndo kama tunvyosikia live n exclusive kutoka result center chamsingi hapa sio kulumbana Dr. Nitakuheshimu sana kama utaacha agument na mabachelor holder kwani...
Back
Top Bottom