Nchi hii ni ya matukio?

ferrari

Member
Oct 29, 2010
10
0
Kwanini hii nchi inaendeshwa na matukio kiasi hiki? hivi tatizo hasa hapa ni nini? kwani tu wepesi sana kusahau na kuingia mkenga kusko yaani siasa ni kila kona na kila mtu amefuzu mbwembwe kwa sasa? kunani hasa? Hata dawa ya Mchg. Mwasapile watu wanaleta propaganda jamani jamani? tutafika kweli?
 
Hapo ndipo Tatizo linapoanzia.....kipindi tumechachamaa na Dowans mara ikatokea Gongolamboto....Gongolamboto halijatulia mara Babu....eeh....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom