Search results

  1. F

    CCM na CHADEMA Hamuwezi kututawala milele!

    kunatatizo hapa! na tatizo lenyewe ni kuwa kila mtu sasa amefuzu mbwembwe za uongo. mi nadhani tuwe waungwana tu kwa kuwaachia wanao weza kupanga hoja wapange, na kama unaona mwenzio hakupanga unatakiwa kufahamu kabisa kuwa mtoa mada ametamka kuwa watu tunauwezo tofauti wa kufikiri na akili pia...
  2. F

    Nchi hii ni ya matukio?

    Kwanini hii nchi inaendeshwa na matukio kiasi hiki? hivi tatizo hasa hapa ni nini? kwani tu wepesi sana kusahau na kuingia mkenga kusko yaani siasa ni kila kona na kila mtu amefuzu mbwembwe kwa sasa? kunani hasa? Hata dawa ya Mchg. Mwasapile watu wanaleta propaganda jamani jamani? tutafika kweli?
  3. F

    Comparing: Lowassa vs Pinda

    mimi sipo hapa kujua yupi bora kuliko mwingine ninachojua ni kuwa any QUESTION DESCRIBES HOW INTELLIGENT A MAN IS na the ANSWER GIVEN DESCRIBES HOW WISW A MAN IS. kwa maana hiyo kila mmoja ana mapungufu yake, ila kiukweli ya pinda yamezidi lowassa was much better though he's a cruke. :kev:
  4. F

    Elections 2010 Haya ndiyo matokeo Halisi?: Kikwete: 44.56% Na Dr. Slaa 44.45%

    Yangu macho! ila hizi ni mbwembwe tu hakuna wizi wowote wala nini reality is the truth. ninachokiona hapa nikuwa kuna katume ka uchaguzi humu kwenye jamvi linalo chakachua matokeo kwa intrest zao JK kashinda basi tena msituzingue na mipasho yenu humu sio JF MODERN TAARAB you @%&$*#*!!*:nono:
  5. F

    Elections 2010 Kikwete kuapishwa na kutangaza hali ya hatari

    acha mbwembwe lete facts!:nono:
  6. F

    Elections 2010 kuchamba kwingi....!!!

    Niwazi kuwa whenga hawakukosea kusema kuwa KUCHAMBA KWINGI MWISHO UTASHIKA HAJA KUBWA. maana yangu hapa nikuwa kura zishapigwa na matokeo ndo kama tunvyosikia live n exclusive kutoka result center chamsingi hapa sio kulumbana Dr. Nitakuheshimu sana kama utaacha agument na mabachelor holder kwani...
  7. F

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    midhani kuna umuhimu wa kupima fikra nasio kukariri kwani hapa kunakukariri mno, mmesahau JK alisema urais wake hauna ubia na mtu!!! possible kabisa kuwa share na dogo
  8. F

    Elections 2010 Congrats JK.... Umeweza Mdahalo/Mahojiano

    hongera kwa kuongea ukweli lakini mkubwa kigugumizi hiki ni cha kuzaliwa au? i think you need a serious check up kwani watu wanaweza wasikuelewe in f'ture. jana umeni convice infikirie kukuvote japo ni kwa huruma uliyoinyesha, hata hivyo inategemeana zaidi sana na mseto wa leo kijiweni kwani...
  9. F

    Elections 2010 BBC wasema JK Anatarajiwa kushinda kwa kishindo!

    ukweli nikuwa mshkaji atashinda ila kuna kalesson lazma atakuwa amepata, kikubwa hapa ni kuwa CCM wanajiandaa kusherehekea ushindi ambao kwa mara yakwanza wameutolea jasho. i like this kwa watanzania hawana muda wakukumbuka machungu kwa it is very shame to us:nono: . tunatakiwa kuhakikisha kuwa...
Back
Top Bottom