Search results

  1. Muro

    Bajeti ya Ajabu kutokea duniani

    Mwakani Biashara ya ngono na madawa ya kule.... kwani umesikia watuhumiwa wowote waliohukumiwa?.
  2. Muro

    Miaka 15 ya kifo cha Horace Kolimba

    Gen.Imram Kombe,Prof.Mahiza,MV Victoria n.k
  3. Muro

    ..bado nashangaa tu!!

    za kuchonga hizi
  4. Muro

    Swali lisilojibiwa: Ndege ya Qatar iliwezaje kutua KIA?

    Siku nyingine wataingiza nchini wapiganaji wakujitoa mhanga na silaha mabomu na mazagazaga mengine,wanaweza hata kuiangamiza nchi ikiwa mtindo huu utaendelea,haiingii akilini sehemu kama KIA kwenye maafisa usalama lukuki tukio kama hili limetokea,inawezekana hata wao walishiriki katika uchafu huu.
  5. Muro

    Porokwa apasua jipu la CCJ

    Huyu mtoto hafai mara kada wa Lowasa mara tena CCJ mara CCM,haya ya CCJ kayajuaje kama nae si mmojawapo,aelezwe ajifunze siasa ni mpangilio wa maneno siyo kuropoka:A S-confused1: .leo Mary Chatanda mdomoni kwako kesho Lowasa keshokutwa Bro 6 mara Nape sasa we wakubwa zako ni kina nani,hii...
  6. Muro

    Tumain University Matapeli!!!!!

    Mbona ndiyo kozi bomba kuliko hiyo ya Puplic Adm,hawa ndiyo watakuwa watanzania wa kwanza kuwa na degree ya Office management,kazi walawala,tena ngoja nimueleze mdogo wangu ana diploma ya Off Man`gnt mwakani aombe awe na degree ingawa hivi sasa ana kazi bomba ile mbaya mshahara unaridhisha tena...
  7. Muro

    Wanyama 130 wakiwemo twiga watoroshwa KIA kwenda Qatar

    Hayo ni madogo njaa yetu ndiyo inayotusababishia yote haya,kuna shehena ya meno ya Tembo Ubelgiji nayo ilitoka TZ wakubwa wameshindwa kuifuata we acha tu.
  8. Muro

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Kamwe hiyo barabara haitajengwa kupita ndani ya Serengeti nasema tena kamwe,hatuwezi kuharibu vivutio vichache vilivyobaki duniani kwa kuwafurahisha wanadamu wachache,hizi rasilimali siyo za watanzania pekee ni za wanadamu wote duniani sisi tumekasimiwa tu kuzilinda na hawatapenda kuona...
  9. Muro

    Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    Ikiwa tunazitaka hizo hela sasa je ni juhudi gani tuliyoonesha kama watanzania halisi kugundua kuwa kulikuwa na harufu ya rushwa katika manunuzi ya rada,na ni hatua gani tulizofanya kutaka turejeshewe fedha hizo kabla ya waingereza kuingilia kati,ni hatua gani tulizowachukulia wahusika wa rada...
  10. Muro

    Which is the biggest city in East Africa? Nairobi, Dar es salaam or Kampala?

    Ijulikanavyo ni Nairobi lakini ukweli upo wazi kuwa ni Daressalaam ni mji mkubwa x2 ya Nairobi
  11. Muro

    Dar es Salaam City in Photos

    Haya ni maendeleo yana gharama zake nazo ni kama miundombinu mibovu kwa jiji linalokua kama Dar,WAKENYA WANADAI NAIROBI NDIYO JIJI KUBWA EAST AFRICA HATA KATIKA MTANDAO WANAJITAMBULISHA HIVYO NISAIDIENI KWA WALE WALIOFIKA NAIROBI HAYA MANENO NI YA KWELI?. MBONA MIMI NILIFIKA NA KUKAA MWEZI...
  12. Muro

    Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

    hawa ndiyo waliomuweka jk mjengoni,mbinu zote za kimafia wanazijua,`system`yote wanaijua nao wako ndani,kosa kubwa sana walilofanya ccm,siwatetei mafisadi ila chama ndiyo kilichowajenga hivyo tusubiri tuone moto ukiwaka na cheche zake ni mbaya kupita kiasi.usimwone kobe kainama kakaa kimya...
  13. Muro

    Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

    Huu ni kama mchezo wa kuigiza,hawa mapacha watatu ndiyo waliobeba siri zote za chama ufisadi wote waliofanya ni kwa ajili ya chama kupata fedha za kuendesha uchaguzi kuimarisha chama n.k,hawa wakiondoka tu na CCM ndiyo mwisho wake tena utakuwa mbaya sana,kwani wana watu wengi sana walio nyuma...
  14. Muro

    Unene mwingine balaa!!

    siyo kweli picha hii ni ya ku copy na ku paste
  15. Muro

    Ngorongoro Conservation Area - Home of the brave

    Huyu Simba dume inaelekea ametengwa katika kundi au mzee au njaa kali, katika natural state simba dume si mwindaji kawaida huwa ana ambush au anawinda wanyama wadogo kama ngiri,nguruwe n.k au weak spp kama binadamu,mifugo hivyo hii picha ni nzuri sana hayo diyo maajabu ya Ngorongoro.
  16. Muro

    Karume Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano

    Loooooooooo!!!!!!!! Muungano ndiyo kushnehi,huyu si ndiye aliyerudisha bendera ya zanzibar,katiba ya zanzibar,zanzibar kuwa nchi kuondoa suala la mafuta kwenye muungano na mengi mengine kuwa please wazanzibari wenzake! na hakika hata Ikulu itahamia zanzibar.
  17. Muro

    Wakenya walikuwa wapi kuhusu ya "Samunge"?

    Ngoshwe hongera kwa taarifa nzuri naomba usichoke kuleta taarifa kama hizi,kwani kuna mmea mmoja unaopatikana katika milima ya Uluguru pekee jina nimesahau ulichukuliwa na wakoloni na kuu propagate huko Ulaya hivi sasa wanafanya biashara kubwa sana ya mamilioni ya dola kwa kuutumia huo mmea kama...
  18. Muro

    chagua kati ya maziwa au bia

    Maziwa poa ona huo mzigo unasababishwa na maziwa bia kila kimzigo kinasinyaa:juggle:
  19. Muro

    Warembo wetu jamani vimini mhhhh

    Biashara ni asubuhi,jioni ni kuhesabu mali yote poa tu
Back
Top Bottom