Search results

  1. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kwa mtindo huu arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto. bado saaanaaaa
  2. M

    Arsene wenger ni bonge la kocha

    safi sana mzee wenger. hongera giroud. hongera arsenal. uhondo huuu
  3. M

    Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

    safi sana maalim
  4. M

    Samwel Sitta na Azan Zungu kuvaana uspika wa Bunge

    kwani sita ni mbunge?kuwa spika si mpk uwe mbunge?mm simwelewi hapa sit ta.
  5. M

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mabula wa ccm kura 81770 na wenje chadema kura 79810 ccm imechukua majimbo yote ilemela na nyamagana. Hayo ndio matokeo rasmi yakiyotangazwa.... Saa7 usiku huu
  6. M

    Unazungumziaje kitendo cha Mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni mgombea Ubunge Vunjo ndugu Augustine Mrem

    mkuu mzizimkavu. mrema amepima upepo akaona ubunge hapati vunjo. kwahiyo ameona ili asife na njaa ajipendekeze kwa magufuli ili magufuli kama atakuwa rais amchague ubunge wa kuteuliwa zile nafac kumi za rais. ameona mbali lakini. na mrema si mpinzan kwa sasa. anatafuta ubnge apate mlo wa siku.
  7. M

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    mwanza tokea jana saa 1 usiku mpk mda huu saa 4 usiku hamna umemezaidi ya masaa 27 hamna umeme. na haijulikani utarudi lini. hii ni balaa. hii itawakost sana ccm wanazidi kupoteza kura kwa wingi sana
  8. M

    Tafiti ya CCM imempa Dkt Shein ushindi wa 60 %

    ccm hata asilimia 20 zenj haijawahi kupata na haitatokea kupata.
  9. M

    Msaada wa ubora wa TV kati ya LG na Sumsung

    mkuu sumsung mm siijui. ila kama unakusudia samsung basi ni bora kuliko lg. ila isinunue samsung za maduka ya mitaani nyingi ni fake. nenda kwenye maduka ya samsung yenyewe utapata kitu original na waranty ya mwaka mmoja. japo kuwa bei ipo juu kidogo ila ni original mtaani nyingi sana kama si...
  10. M

    Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    innalilahi wainna ilayhi raajiuun. allah awajaalie pepo inshaalah
  11. M

    Mtanzania ajirusha Juu ya Ghorofa 3 yeye na mwanae, Kafariki yeye mwanae mahututi Hospitali

    amejidhulumu bure nafsi yake. na kamdhulumu na mtoto asie na hatia
  12. M

    Mtanzania ajirusha Juu ya Ghorofa 3 yeye na mwanae, Kafariki yeye mwanae mahututi Hospitali

    mkuu mzizi mkavu huyu hamad ni jamaa wa kizanzibar au sio?
  13. M

    Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    sio arusha tu ni sehemu kubwa ya nchi umeme ni wa mgao
  14. M

    PICHA: Mkutano wa mgombea ubunge Vunjo CCM

    ccm kwisha kabisaaa. m batia jichukulie jimbo hilooo
  15. M

    Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

    Acha life shenzi hilo tapeli kubwa na mzinifu anaepora wake za watu. nakutukana viongozi wakuu wa dini. hiyo ni laana ya mungu imemfika
  16. M

    Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    mbeya city hana ubavu wa kumfunga yanga leo. subirini mtajionea.
  17. M

    Muuza mishkaki Temeke akamatwa akiandaa paka kutengeneza mishkaki

    nikweli hii habari. hata picha za mtuhumi2a zipo. na paka.nyama yale ipo iliyokuwa inaandaliwa. ila kuziweka hapa ndio inshu
  18. M

    Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

    safi sana E. guinea. mmepambana kiume hatimae mmeingia robo fainali
Back
Top Bottom