Search results

  1. SUZANE

    Ninatafuta mfadhili

    Nawasalimuni nyote!! Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijipigania lau niweze kujilipia hata kozi ya cheti pale chuo cha sanaa Bagamoyo lakini kumbe mipango si matumizi. Kwa kipato changu nimeshidwa kabisaaa, kujiwekea akiba ili nikajisomeshe, lakini natamani sana na ninapenda sana nikasome ili cku...
  2. SUZANE

    Natafuta MTU wa kuniongoza ktk tasnia ya uigizaji wa filamu na tamthilia

    Nawasalimuni mabest zangu na mie!! Nimewamisijeeeee!! Waoooo...... Haya sasa, Leo mimekuja na langu la moyoni, Nahitaji director/ nahitaji mtu atakae niongoza na kunioshesha njia ya sanaa ya uigizaji kwa ujumla, nimekua muigizaji tangu 1997 mpk Leo, cha ajabu cjawahi kutoka kivyovyote vile...
  3. SUZANE

    Nipeni mchongo wa shekeli

    jamani walevi wakikutana baa hupeana madili ya hela walokole wakikutana kanisani hupeana habari njema za Mungu! Na mimi leo niko JF, humu nimegundua kuna watu wenye michongo mikali na mirefu ya fedha! Nakusubiri inbox unipe dili, yaani namaanisha... wewe unaedharau, na majibu yako...
  4. SUZANE

    Mtoto ana miezi minne, anna mimba nyingine

    Heri ya mwaka mpya wapendwa. Natoa shukrani zangu kwenu nyote mlionishauri na kunifariji wakati nikiwa nahitaji mtoto, hamkuniacha mpweke mpaka mimba ilipotunga na niliwajulisha, sasa Mungu amenipa mtoto mume, na mzuri kwa kweli. Glory to God. Leo naombeni mnisaidie kuhusu huyu wifi yangu...
  5. SUZANE

    Nimepata mimba kutokea JF Doctor

    Nawasalimuni nyote... Niwakati mwingine tena napenda kuwashukuru wana JF wote mlio changia ule uzi wng "Je namna hii naweza kupata mimba?" kwa kweli nilikua naumia kwakua nilikua natafuta mtoto kwa siku nyingi bila mafanikio. Baada tu yakuchukua uamuzi kuwashirikisha nilipata faraja kuu...
  6. SUZANE

    Nahitaji vifungashio na mashine kwa ajili ya kuuzia lishe yangu

    Heshima natanguliza. Baada ya kuzunguka katika maduka na supamaket kadhaa, nimepata oda ya kusambaza unga wa lishe. Tatizo hata sijui vifungashio nitavipata wapi. Tafadhali naombeni msaada wenu. Nahitaji ile mifuko migumu ya lailoni pamoja na ile mashine ya kufungia vifungashio hivyo...
  7. SUZANE

    Jinsi nilivyovalishwa sanda na mganga kisa mapenzi...

    Leo sijui kwanini nimekumbuka hii stori!!! Nawasalimuni nyote ndugu zanguni. Nimiaka mingi kidogo imepita jambo hili lilinikuta. Nilikua na boyfriend wng, siku zikaenda mpk akaja kuhitambulisha, baada ya muda wakanilipia mahari... Maisha yakawa yanasonga huku vikao vikiwa jikoni. Nakumbuka...
  8. SUZANE

    Mfanyakazi wangu kanigeuka, nimemfungulia shitaka, wanasheria nisaidieni

    Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana... Story iko hivi, Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama ilivyokawaida nikamchagua mmoja ambae anaitwa ibu awe msimamizi wa ile biashara. Nimekaa nae huu...
  9. SUZANE

    Mfanyakazi wangu kanigeuka, nimemfungulia shitaka, wanasheria nisaidieni

    Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana... Story iko hivi, Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama ilivyokawaida nikamchagua mmoja ambae anaitwa ibu awe msimamizi wa ile biashara. Nimekaa nae huu ni...
  10. SUZANE

    Jinsi nilivyo keketwa na kunusurika kifo

    Naikumbuka siku ile nilipoitwa nyuma ya nyumba kule kijijini kwetu. nikaambiwa nitanue miguu then wabibi flan wakanitazama kwa makini sana, ckujua kitu kilikua kinaendelea.... Baada ya cku kadhaa, asbh sn nikaamshwa nikavalishwa kanga moja inatopita shingoni, kwetu inaitwa (maleleta)...
  11. SUZANE

    Namna hii, je naweza pata mimba?

    shalom!! Assalam aleikum! binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga. mwezi wa nane niliona cku zangu tar 11-14, sept 14 - 18, Oct 22 - 25, before sikuwa narusha siku zangu namna hii, nilikua na tarehe moja...
  12. SUZANE

    Read this even you read it already somewhere..

    DON’T STOP DEPENDING ON GOD... A young man working in the army was constantly humiliated because he believed in God. One day the captain wanted to humiliate him before the troops.He called the young man and said:- Young man comes here, take the key and go and park the Jeep in front...
  13. SUZANE

    Mwanangu Mwanauba, jifya moja haliinjiki chungu

    Nawapenda wote!! Ni juzi tu nilialikwa kwenye kitchen party ya jirani yangu Mwanauba, nilijuta kwanini nilikwenda maana nilijikuta nikipoteza raha yangu yote..... Mama mmoja ambaye alialikwa kumfunda Mwanauba alikuwa akiongea maneno ambayo yalikuwa yakiniuzi kila alipoendelea kuongea...
  14. SUZANE

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Nawasalimuni nyote ndugu zangu!! Niwakati mwingine tena ningependa ku-share na nyie mkasa huu ulionipata! Nilikua na boyfriend wangu ambaye wakati akiwa chuo mimi nilikua nafanya kazi, tumeishi pamoja sasa yapasa miaka 4 ikiendea na miezi 7, kwa kweli nilimpenda mwenzangu kutoka moyoni, shida...
Back
Top Bottom