Search results

  1. K

    Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

    Hebu jaribu,ya nini kuandikia wino wakati unaweza copy na ku paste.Beach ya Aghakan haina walevu.
  2. K

    Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

    Kama unataka jini fanya haraka pale kwenye beach ya Aghakan Hospital.Kuanzia saa saba usiku kaa chini ya mti wowote watakuja na utaongea nao.usiogope anaweza kuja kwa umbo lolote kama vile kuku paka mwanamke au mlinzi au mvuvi nk.Utajuta ukifanya kosa.Maeneo ya Lumumba kuna baa moja huwa anakuja...
  3. K

    Kuna nini mikopo ya vyuo vikuu?

    Huko vyuoni kuna kitu kinaitwa kwa kiingereza "POLITICS"kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu utakuwa umeelewa.jiulize mbona wamelipwa na kwa nini hawakulipwa kabla na ni nani aliuewambia wagome
  4. K

    Kwa sifa na vigezo hivi vya CCM tusidanganyane, NEC tuleteeni Mwandosya tu

    Kama akijaaliwa na Mweyezimungu kupata hiyo nafasi basi asiwarudishe wale wote amabo ni mizigo.Wako vijana wengi wanaweza kazi za uwaziri na wana nidhamu na wako tayari kuelekezwa na wakuu wao.Kwa kifupi apige chini wazee wote na aunde baraza la wazee la kutoa ushahuri liwe kinakutana sambamba...
  5. K

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaahirisha Zabuni zake kiutatanishi leo

    Kwa hali ya kawaida sisi binadamu huwa tunajisahau kwa kudhani wazee au wagonjwa ndio wanaotangulia mbele ya haki...tunajisahau kwani kutangulia mbele ya haki ni Wajib na ni Amri ya Mwenyezimungu na hakuna atakayekwepa hilo.Vitabu vyote vitakatifu vimeandika hilo.Sitaki kuendelea zaidi kwani...
  6. K

    Hivi hamad rashid anamwakilisha nani bungeni ?

    Yana mwisho wake.tuombe salama tu
  7. K

    Polisi Dar waumbuka dhidi ya CUF, Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu yawatia hatiani

    Kwa nini maandamano huwa Mbagala,Temeke,Buguruni,Manzese tu.This time yaanzie Oysterbay au Masaki
  8. K

    Mahakama ya Karagwe, yatengua matokeo ya vijiji 36 vilivyochukuliwa na CCM

    Mungu wangu..!!!!!!! na oktoba hiyooooooo
  9. K

    Tangazo la CHADEMA leo Mwanza limeniacha njia panda

    Mtoa hii mada kwa kuwa unatumia smartphone nikuombe uende EXTRA MILE kabla ya kuleta UZI humu.nakutakia kila lakheri usiibiwe na msukuma mkokoteni.
  10. K

    CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    Itakuwa miujiza Salim Mh.kukubaliwa na CCM.Kwani huyu bwana si alikuwa Mwarabu siku zile za nyuma kulikoni sasa,lakini la pili huyu kwenye ile tume yao si walikubaliana serikali tatu,walitaka maadili ya viongozi,walitaka ukomo wa u bunge,walitaka mbunge asiwe waziri na kadha wa kadha.vyote...
  11. K

    Kati ya Hawa, Mmoja atakuwa Rais mwaka huu...

    Ipi itakuwa sahihi nikitamka: Wa TZ wanapenda sana lugha ya matusi au: Baadhi ya wa TZ wanapenda kugha ya matusi.Kwa nini nimeweka hizo sentensi:Wabunge tumewachaguwa sisi na ndiyo wanatuwakilisha kauli zao tunaziona pia kuna ule msemo wa samaki mmoja akiozwa.....au ile dhana ya collective...
  12. K

    Dr. Kaberuka ndie mrithi wa Kagame Rwanda

    Huku vipi....nani anachukuwa safari hii....
  13. K

    Kutana na Shangwa ole Ikayo, Mgombea Ubunge mdogo kuliko wote Tanzania

    Tubadilike jamani.....hawa wazee mpaka wafie bungeni..?Kweli wanadhamira ya kuwaendeleza vijana..?wote walio above 60 years wapigwe chini na wanawake above 50yrs.
  14. K

    Nimetukaniwa Mzazi wangu kwa SMS, Naombeni Muongozo!

    Na kule Bungeni wapo wenye mitusi na mipasho na wanafurahia saana hiyo tabia.Hebu tuwatambue kwa hizo sifa:Kombo wa ZNZ,Asha Bakari huyu mama anastahili kuingia kwenye world record ya mitusi.
  15. K

    Somo la mgomo wa UDSM jana

    Karibu na uchaguzi,hebu wagome baada ya uchaguzi halafu watupe the outcome.Huu ni wakati mzuri wa kudai malipo yao yaliyo halali.
  16. K

    Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

    Ile ya padri ni photoshop...kwenye parking kule rose garden wandugu huwa wanaendelea kila siku
  17. K

    Nimetukaniwa Mzazi wangu kwa SMS, Naombeni Muongozo!

    Mjibu mwambie"nimeupata ujumbe wako na nina muomba Mwenyezimungu atusamehe makosa yetu"
Back
Top Bottom