Habari wandugu! wapi hapa Tanzania naweza pata programmed spare key ya BMW,318i ya mwaka 2002 kwa bei reasonable?
Natangauliza shukrani.
Mwenye taarifa yoyote anaweza nicheki kupitia 075996662 .
Natanguliza Shukrani.
Sababu za kuuza: Maamuzi tu ndugu yangu!
Inapatikana wapi?: Kwa sasa ipo Iringa ila inaweza kwenda Dar muda wowote na saa yoyote kulingana na mahiji ya mteja.
Accident record: No any significant accident record
Odometer: 70,000Kms.
Toyota IST Inauzwa 8,500,000TZS,ni ya mwaka 2003!
Ipo vizuri! Service ya mara kwa mara!
Cheki Picha hapa chini!
Kwa maulizo na manunuzi nicheki kupitia 0759-966623.
Hongera sana kaka!!
Mungu akutie Nguvu katika mapambano haya naamini huu ni mwanzo tu wa vitu vingi sana unavyoweza fanyia jamii yetu hii iliyozungukwa na dhuluma ya kila aina! Binafsi nakufahamu kama moja ya azina chache ya vijana wa Taifa hili ambao wanaweza kusimamia wanachokiamini kwa...
Mimi nipo Tabata Kimanga stand muda huu na wala hakuna dalili za mkutano leo nadhani tarehe zimechanganywa nasikia huo mkutano ni Kesho, 11/8/2013 ! Kama kuna mtu ana taarifa za Uhakika atuwekee hapa.
mi nilijua anaungua na moto bungeni si ndo nikashangaaaa hakuna zima moto bungeni??!!Hahahhahahahahah hii lugha ya kikiristo hajawahi kuwa rahisi kwa waumini wake hata siku moja!!
Naomba Kiongozi mkuu wa Kambi ya Upinzani(Freeman Mbowe) amuulize waziri mkuu kwenye maswali ya papo kwa papo siku ya Alhamisi nini kuhusu HATIMA ya kesi ya Dr.Stephen Ulimboka kwani serikali ilijitamba sana kwamba ukweli utajulikana na sasa ni miezi kibao imepita umma Haujulishwi kinachoendelea...
RIP Proffessor! You will always be remembered for your outstanding and magnificent work on African culture!! Your GREATEST as far as the AFRICAN culture is concerned!!
Listen to your heart and go for it!! Mimi nimesoma PCB na sasa ni daktari ila siku katazi kuja huku wala kwenda kule!! Just do what u think you want to do and give it your BEST mengine yatafuta!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.