Search results

  1. J

    Msaada tafadhali

    Kwani wanaume hawaolewi?
  2. J

    Msaada tafadhali

    Mwenzenu nashukuru sana wanajf nimefalijika sana nimepata msaada nilohitaji kumbe hakuna haja ya msenga au dalali.Sitamwacha huyu binti niko naye tayari.Jf oyeeee.
  3. J

    Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

    Makosa ya kimtandao yafunga mtu ndio maana sitacomment.
  4. J

    Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

    Umechelewa maana muda hauruhusu ,muda umekwisha.Kama si hivyo kwa kujipendekeza uko ungepewa ukuu wa wilaya.
  5. J

    Pembe za ndovu za zaidi ya Sh Milioni 800 toka Dar zakamatwa Uswisi

    Watu hawa wachina hata ziara ya rais wao na misaada yao sasa ipigwe marufuku.
  6. J

    Msaada tafadhali

    Mambo mengine ni off line.Nitumie namba twende off line.Wali mchafu unanukia naanza kupata majibu ya kutiya mwoyo.
  7. J

    Msaada tafadhali

    Kwani wewe unamjua Mshana?Wewe unataka mchumba au Mshana?
  8. J

    Msaada tafadhali

    Una jina zuri,salt,nikikuweka ndani nitabadilisha kidogo na kukuita Sugar.
  9. J

    Msaada tafadhali

    Yeye anaona issue yangu inahusu wachumba au wasichana,halafu anachangia ya nini?Hili ni ombi kwa wasichana tena wakikristu tu.Pia halimuhusu alozodi miaka 35.Ni vema kuangalia vigezo na masharti.
  10. J

    Msaada tafadhali

    Agnes yes,but Juma nadhani ktk sifa tajwa unaweza kosa hiyo moja.Dini vp?
  11. J

    Msaada tafadhali

    Eve,unaweza kuwa ni wewe Mungu apewe sifa maana mke mwema hutoka kwake Bwana.Naona sifa angalau ya kwanza,wewe ni mkristu.Miezi miwili nadhani nitakuwa nimepata wachumba na kuchagua mmoja na huo ndo utakuwa mwisho.
  12. J

    Msaada tafadhali

    Nitumie namba ya cm basi,tuzungumze.
  13. J

    Msaada tafadhali

    Hapana wewe ukinikubali tunatumiana namba za simu na kupanga kuonana.
  14. J

    Msaada tafadhali

    Kuokoka na kumcha Mungu ni vitu viliwi Tofauti.Mtu anayemcha Mungu anawefanya mapenzi nje ya ndoa.Lakini mlokole hawezi.Kwa ombi langu hilo siwezi kuwa mlokole.
  15. J

    Msaada tafadhali

    Mshana jr.Hilo ni ombi lipokee kama una sifa au likatae.Hakuna haja ya kunikosoa.
  16. J

    Msaada tafadhali

    Natafuta mwanamke humu kwa ajili ya mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi. Awe na umri usiozidi miaka 35. Awe ni mtanzania anayeishi Dar au awe anapenda kuishi Dar. Awe hajaolewa wala juzaa. Mwenye sifa hizo Karibu
  17. J

    Msaada tafadhali

    Natafuta mwanamke kwa ajili mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi na awe yuko huru,umri asizidi miaka 35.Awe ni mtanzania anayeishi au yuko tayari kuishi Dar.Awe mkristo hai anayemcha Mungu.Maombi yatumwe:jamaajamii@gmail.com
  18. J

    Natamani mwanamke mweupe baada ya kuoa mwanamke mweusi

    Na mke anataka kitu white,bahati mbaya wewe mweusi.Hapo sasa mkubaliane kuachana.Ili mchukue vitu vipya,vitu white.Aaaaah.
  19. J

    Mke wangu namtongoza upya kila siku

    Bwana huyo kama hana maradhi basi kapata bwana na bwana huyu hana mke lakini anapesa ya kufa mtu.Halafu ana mdude huo...wa kufa mtu anachoka sana.
Back
Top Bottom