Search results

  1. callist laurent

    Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    Mbona hii ni habari nyingine mkuu, wao wanamuongelea Bashiru, siyo binti yake.
  2. callist laurent

    Uchaguzi 2020 Maprofesa Baregu na Safari mko wapi kuisaidia CHADEMA?

    Tanzania hatujafika hata robo ya bilioni, sijuwi Kama unafahamu hivyo.
  3. callist laurent

    Mama yangu alifanya kazi ya ualimu kwa miaka zaidi ya 30 kabla ya kufukuzwa kwa kuwa na cheti fake

    Hao watu waliajiliwaje muda wote huo ! Na Kama sheria zilivunjwa, hao waliozivunja mbona hatujaona wakiwajibishwa?
  4. callist laurent

    Uchaguzi 2020 Ushauri kwa waandaaji wa Kampeni za CHADEMA

    Unafikiri hizo amshaamsha za wanamziki zinafanywa bure? Unadhani hao wasanii wote wanaenda kwenye majukwaa ya CCM kwa kupenda pamoja na kuwa wanalipwa ? Fikiria upya.
  5. callist laurent

    Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

    Dada amegusia, Kasema anataka kujenga taifa lenye misingi ya haki na utu ambao ndiyo msingi wa maendeleo.
  6. callist laurent

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Ingependeza Kama hiyo harambee ingeitishwa na waislamu wenyewe msikitini , na mheshimiwa angeenda Kama mwalikwa kufanya huo uhamaeishaji.
  7. callist laurent

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

    Kampeni bado subiri utamsikia tu, hata ilani ya uchaguzi ya chama chake bado hajakabidhiwa rasimi kuifafanua kwa umma. Subiri, akifanya sasa hivi atakuwa anavunja sheria upo?
  8. callist laurent

    Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

    Huyo ni mwanasheria mkuu wa Serikali.
  9. callist laurent

    Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

    Kwa taarifa hii, naona kama watoto wa Nyerere hawajatendewa haki katika Taifa hili kwa uzalendo wa baba yao na wao wenyewe kwa Taifa letu. Viongozi wa Sasa sidhani kama wanaweza kupeleka watoto wao, yaani familia nzima vitani Frontline. Walitakiwa kupewa heshima na nafasi kubwa za upendeleo...
  10. callist laurent

    Wana MATAGA tunawaza, jamaa yetu ataacha LEGACY ipi? Maana haka ka corona kamevuruga mapato, na miradi haijaisha

    Kuna alieshangilia hapo kweli ! Hapo si kaeleza hisia zake tu. Ina maana hayo aliyoeleza yana ukweli hadi umuone kuwa anashangilia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. callist laurent

    Kupiga picha na Mzungu Marekani ni habari

    Na zito kaweka wapi mkono wa kulia. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. callist laurent

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    Misimamo Kama huu ndiyo insababisha ukimwi uenee ktk jamii yetu. Kwa nini tunaficha huu ugonjwa ? Kunafaida gani tunapata tunapo ustili huu ugonjwa !
  13. callist laurent

    Diamond vs Harmonize: What goes around...

    Kwani kalalamika, au kamzuia ? Mbona unamzushia Mambo !
  14. callist laurent

    Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

    Hili siyo tatizo bali ni biashara/burudani inayotolewa kwa kutumia mwili kwa kulipia. Ni sawa na akina Bondia Cheka wanaotumia miili yao kujipatia pesa, mchezo ambao ni hatari sana kwa maisha kuliko kufanya ngono? Mbona tunalipa viingilio kwenda kutizama mpira ambapo watu wanatumia viungo vyao...
  15. callist laurent

    Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

    Na ndiyo biashara kongwe kuliko zote duniani.
  16. callist laurent

    Ngumu sana kupata mwanaume wako peke yako

    Hiyo ni kampeni.Anajenga hoja ili ashawishi wengine kushiriki udhaifu wake.Kwa jinsi jamii ilivyo changanyikiwa, naamini atapata suport.
Back
Top Bottom