Ngumu sana kupata mwanaume wako peke yako

Hiyo ni kampeni.Anajenga hoja ili ashawishi wengine kushiriki udhaifu wake.Kwa jinsi jamii ilivyo changanyikiwa, naamini atapata suport.
 
2309974_img20150325wa0001_jpeg400c655c054e4b8ad95ff446680270c0
si kweli,
mie wangu ni wa peke yangu labda nimtafutie nikichoka.

Muulizeni tu hata yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom