UKIMWI unavyotafuna vijana

Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Kumbuka zinatoka kwa mabeberu hao mnaowaimba kila siku. Wakikata mirija mtafanyaje?
 
Unamwona mtu kakonda lakini gafla unaona tumbo limetoka kubwa kweli kweli na kajasho eti ni kitambi,,,,,, anaijua siri yake na madawa anayotumia badala ya kutulia na kumuomba mungu amjalie maisha marefu yasiyo na dhambi basi ndio anafungulia mbwa sasa, vitoto vidogo maskani viwanafunzi nyumbani unakapenda na wala hujui kuwa kalishaanza jinsi kanavyozuga kana heshima nyumbani kumbe kalishaharibiwa na mdudu kashapewa, My God, unakuta na vijana wa umri wake nao wanakafukuzia wanafikiri ni katoto kenzao kumbe lo!!! kanao nako kanawagawia, wanavunzi wa vyou vikuu tamaa ya anasa, maisha ya kujirusha na kutaka kumiliki vitu vya garama mnakwisha na akili zenu. Unakuta mdada ana akili kweli darasani lakini mwili wake kauachia kama "open cheque" anamaliza chuo anaajiriwa maskini vijana wa mtaani wanaanza kujigonga "boss lady" wote wanagawiwa, sasa elimu uliyokuwa unaihangaikia tangu ukiwa chekechea ndio unaishia wapi? vipi wazo la kuwa na familia, mipango endelevu ya kuwatunza wanao na wazazi wako huku umeshaugua kwa ajili tuu ya kushindwa kuzuia tamaa za mwili!!!! tafakari chukua hatua
Au unapata ajali unakufa. Hakuna tofauti. Bora tusisome tu . Si ndio?
 
....siku dawa ikipatikana nitaenda kupima lakini hii yakwenda kupima nikaanza kuishi kwa kubeti mda hapana
Na mm nishasema hivyo na hata nikienda kufunga ndoa kanisani wakataka wanilazimeshe nipime kwanza nitaachana na huo mpango wa ndoa.Sitaki stress mimi kama ni kufa kupo tu kwa nini uanze kuishi kwa mashaka.
 
Sawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.

Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
Misimamo Kama huu ndiyo insababisha ukimwi uenee ktk jamii yetu. Kwa nini tunaficha huu ugonjwa ? Kunafaida gani tunapata tunapo ustili huu ugonjwa !
 
Siri nzito inayopelekea UKIMWI kutmalaki ni jambo moja tu, with kutangaza ugonjwa tofauti hasa wakati wa kusoma historia ya maremu, tungetangaza kuwa marehemu kaondoka na ngwengwe mke na michepuko yake isingeguswa na HIV -ve, TUPIMWE WOTE KISHA ATAKAEKUTWA POZITIVU APIGWE CHAPA KWENYE TAKO NA ITANGAZWE ILI KILA ATAKAEKUWAA MIADI KABLA YA KUTUMBUKIZA MBOYOGO a.k.MKUYENGE NI LAZIMA TUCHUGULIANE MAKALIONI
 
We utakua nao afu istoshe unaexperience ya maumivu ya roho

Mi Niliwah Pima majib ya mwanz yakawa tata..... Asee niliwaza vingi sana ktk age ya 25" """"" Ningekufa kwa stress lkn kilichonipa moyo ni mpenz angu baada ya kupima akawa fresh. ......hvo nilkaa 6month nikaenda Pima tena nikawa poaaaaaaàaaaa sitasahau.....moja ya kitu kinachoua kupitia Ukimwi ni Stress Over""
N.B
Ukimwi Upo na Unaua
Nenda kahakiki tena mara ya tatu..
 
Au unapata ajali unakufa. Hakuna tofauti. Bora tusisome tu . Si ndio?
soma kwa malengo tunza akili na afya yako, acha tamaa usikubali mwili uongoze ubongo wako bali ubongo ujuayo mema na mabaya ndio ukuongoze. Taifa linakutegemea , na familia yako inakutegemea vilevile. Kumbuka ulipotoka na jione wewe ndio wa kuweza kufanya mabadiliko... kama utasoma kabla hata hujaaanza kunufaika na elimu yako unaanza kuugua na wazazi wanaanza kukulea tena na uzee wao badala wewe uwatunze ... wanaanza kuuza kila kitu kukununulia madaya yafaa nini?
 
Hakuna MTU aliyenifundisha madhara ya ukimwi kama mama yangu.Huwa haniambii maneno aliyosikia Bali mambo aliyoshuhudia

Walizaliwa 13 ila kati yao 9 wamekufa Kwa ukimwi.Kati ya wanne waliobaki tayari Wawili waathirika hivyo wanaishi Kwa matumaini

Huwa ananiambia ukoo wao unaisha Kwa ukimwi .Watoto wa Dada na kaka zake wanaishi Kwa matumaini.

Moja ya vitu ambavyo anauelewa mkubwa navyo basi namba moja ni ukimwi

Kauguza wote 9 waliofariki na anauguza Wawili sasa.
Nikiwa kitandani na mwanamke huwa nakumbuka maneno ya mama.

Niliwah pata demu mbichi ndio kamaliza form 4 kapo vizuri nikaenda nae kumgonga kavu kavu yani kwa american slang tunasema by the skin of my teeth .Tulipovua nguo nikakumbuka maneno ya mama.Nikamwambiaa vaa nguo tukapime ,akakubali.Tukazama Ukonga hospital ya masista tukakuta yeye muathirika ,ila hakuwahi kujua kuwa muathirika.

Now kila analonifundisha mama yangu nalifanyia kazi.

Asante mama.
itoshe tu kusema kuna ka pepo ka ukimwi kanazengea ukoo wenu.hakako mbali mkuu endelea kujitahid kuwa unaangalia huku na huko kabla hujafanya maamuzi yoyote.
 
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.

Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.

Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Ukimwi upo wa kumtosha kila mtu.
 
Usipotaja watu hawaogopi na kuchukua hatua maana wanaona watapata staha. Pia ukitaja ni rahisi watu kukaa mbali na wale walioatajwa na aliyetangulia mbele ya haki. Marehemu Nelson Mandela alioonyesha njia kwa kumtaja mwanawe hadharani.
Huyo dada wa cheka mbona mdogo jamani
 
Hakuna MTU aliyenifundisha madhara ya ukimwi kama mama yangu.Huwa haniambii maneno aliyosikia Bali mambo aliyoshuhudia

Walizaliwa 13 ila kati yao 9 wamekufa Kwa ukimwi.Kati ya wanne waliobaki tayari Wawili waathirika hivyo wanaishi Kwa matumaini

Huwa ananiambia ukoo wao unaisha Kwa ukimwi .Watoto wa Dada na kaka zake wanaishi Kwa matumaini.

Moja ya vitu ambavyo anauelewa mkubwa navyo basi namba moja ni ukimwi

Kauguza wote 9 waliofariki na anauguza Wawili sasa.
Nikiwa kitandani na mwanamke huwa nakumbuka maneno ya mama.

Niliwah pata demu mbichi ndio kamaliza form 4 kapo vizuri nikaenda nae kumgonga kavu kavu yani kwa american slang tunasema by the skin of my teeth .Tulipovua nguo nikakumbuka maneno ya mama.Nikamwambiaa vaa nguo tukapime ,akakubali.Tukazama Ukonga hospital ya masista tukakuta yeye muathirika ,ila hakuwahi kujua kuwa muathirika.

Now kila analonifundisha mama yangu nalifanyia kazi.

Asante mama.
Badili avatar yako, ili uendane na story yako.
 
Back
Top Bottom