Search results

  1. juvenile davis

    Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Wakuu habari zenu? Nina miaka 35 sasa ila nasumbuliwa na changamoto ya ugonjwa wa presha kuwa juu. Nina miezi minne sasa tangu tatizo lianze. Kwa yeyote anaejua matibabu au dawa nzuri ya kuondoa kabisa hili tatizo naomba msaada tafadhali. Nimeshafanya vipimo vya moyo ila hakuna tatizo...
  2. juvenile davis

    LAKI SI PESA, Wakati wa Jakaya Kikwete ilikuwa raha sana

    Nimeukumbuka sana ule msemo wa laki si pesa,awamu ya KIKWETE ilikuwa raha tupu yaani kila mtu alikuwa anashika pesa,biashara zilikuwa moto kila pembe,ajira ndio usiseme,vikampuni kama vyote, bank kibao na branch kila kona,mikopo nje nje bila mashariti wala nini.yaani kama hukufanya maendeleo...
  3. juvenile davis

    Hizi ndio chorus kali za kuchana (hiphop ) Bongo

    Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo nyingi. Hizi ndio chorus kali kuwahi kutokea Bongo tangu muziki wa hiphop ukue. 1: Tathimini ya Prof...
  4. juvenile davis

    Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na nimeumiza sana wanawake. Kati ya kitu siwezi kusahau katika maisha yangu na namuomba Mungu anisamehe na...
  5. juvenile davis

    Form 5&6 mwaka mmoja au chuo niamue lipi?

    Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24 ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano, na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za kulipia(private). Hivyo elimu yangu ikaishia hapo lakini Bado natamani sana kusoma hata kama Sitapata ajira...
  6. juvenile davis

    Hili la tozo wa kulaumiwa ni Hayati Magufuli, Wabunge wa CCM na NEC, siyo Rais Samia

    Hakuna ubishi kwamba Kwa sasa Tanzania kuna kila aina ya tozo kila kona.sina haja ya kuorodhesha hizo tozo zipo wapi na wapi Maana wote tunafahamu. Watu wengi wanamlaumu Rais MSSH. Lakini mimi binafsi naona tunamtwisha gunia la lawama ambazo hastahiri kabisa ila ndio hivyo Kwa kuwa yeye ni Rais...
  7. juvenile davis

    Hivi mapenzi huwa yanachuja?

    Habari za siku nyingi wana MMU? Nisipoteze muda nije kwenye mada kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana, namfahamu kama miaka minne iliyopita lakini sikuwahi kumtongoza na wala hatukuwa na mazoea wala salamu. Baada ya miaka miwili nikaamua nianze kumpa salamu akipita maeneo yangu au tukionana...
  8. juvenile davis

    Katiba Mpya: Mimi ni CHADEMA lakini kwa hili nasema NO, tena Big No

    Habari za usiku wanajukwaa. Ni muda mrefu sijachangia chochpte humu wala kuweka bandiko lolote humu zaidi tu ya kusoma mawazo yenu. Naomba nieleweke kwamba mimi ni mfuasi mtiifu wa chadema na nitaendelea kukitii siku zote.na niweke wazi kwamba sijawahi kukihujumu chama wala sifikirii kufanya...
  9. juvenile davis

    Huyu Mwanamke anamaanisha nini? Wadau nisaidieni

    Kwema wakuu? Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.mimi nina mpenzi wangu ambae tumedumu takribani miezi 8 sasa, lakini hatujawahi kufanya mapenzi kabisa na kila siku tunaonana.shida ya kutosex ndio imenileta hapa jukwaani. kila tunapopanga siku ya kupeana raha huyu mwanamke ananipa porojo...
  10. juvenile davis

    Hivi mwanamke anaweza kukaa miezi sita bila kufanywa?

    Wakuu naomba kujuzwa..hivi mwanamke anaweza kukaa miezi sita au saba au hata mwaka hajatiwa kweli? Inawezekana kweli akakaa muda wote huo bila kugegedwa na akawa normal? Nawaza tu mana mshikaji wangu yupo Arusha na demu yupo Dar huu mwezi wa kumi sasa.wanawasiliana tu kwa simu..si anang'atiwa huyo?
  11. juvenile davis

    Demu wangu ananisumbua,nifanyeje ili nimuache?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa, yupo chuo anamaliza mwaka huu wa tatu. Kiukweli nampenda sana na sitarajii kuwa na mwanamke mwingine. Lakini hivi karibuni anavyokaribia kumaliza ameanza tabia ambazo silidhishwi nazo. Tabia ambazo binafsi naamini...
  12. juvenile davis

    Wanaume wengi haturidhishwi jamani!!

    Wanawake wengi hulalamika kwamba hawalidhishwi na wenzi wao kimapenzi.ila amini nawaambieni 95% inasababishwa na wanawake wenyewe Unakuta mdada umelala nae anakugeuzia mgongo .sasa nakuandaaje hapo? Yani unakuta janamke unalishikashika na kulipapasa kila sehemu ye kaganda tu hana response...
  13. juvenile davis

    Hujawajua wanawake bado. Na hutokaa uwajue milele

    Upo na demu wako au mke wako.mnapendana ile kinomanoma adi unahisi labda ni malaika kashushwa.unamsaidia kwa kila tatizo linalompata .na wakati mwingine unakuwa huna pesa ila unaamua hata kuingia madeni ili mradi tu mpenzi/mke wako asiteseke na tatizo lolote ,wakati mwingine kipato chako ni...
  14. juvenile davis

    Flyover ya Tazara na ndege zinanisaidia nini mimi wa kijijini?

    Nawaza sana tena sana.naomba nipatiwe majibu murua leo.hivi mimi ninaeishi huku kijijini je hiyo flyover ya DSM tazara itanisaidia nini? Nawaza sana hata hiyo mi dreamliner inanisaidia nini mimi wa kijijini sasa? Huku sina hata barabara ya lami achilia mbali airport.. Sasa hayo mimi yananisaidia...
  15. juvenile davis

    Nina wapenzi zaidi ya mmoja lakini bado nampenda huyu mmoja

    Waungwana habari? Kama kawaida yangu sinaga mada za kutunga bali nakuwa muwazi kwa yale yanayonipata..nishalala na wanawake wengi sana kiasi kwamba sina idadi kamili ila nakumbuka si chini ya 190,na huwa siwezi kutulia na mwanamke mmoja.napenda kuwa nao hata watatu au wanne lakini katika hao ni...
  16. juvenile davis

    KUNA UKAKA NA UDADA KATI YA WATU WALIOWAHI KUWA WAPENZI??

    Kama kichwa kinavyojieleza .Nina demu wangu nachepuka naye ila hapa kati kaniacha hoi sana,ameweka ukaribu mkubwa na mshikaji mmoja hivi ambaye washawahi kuwa wapenzi.namuuliza kulikoni? Ananiambia yule wamebaki kama kaka na dada .hivi wadau hii inawezekana kweli? Inawezekana kweli mwanaume...
  17. juvenile davis

    Wenye long distance relationship mnawezaje kudumu bila kucheat? Mbona nashindwa?

    Habari wadau? Mimi nina mpenzi au mchumba wangu ambaye nampenda sana ila tatizo ni kwamba tunaishi mikoa tofauti.. Ukweli ni kwamba nampenda sana na huwa sipendi kumsariti lakini mimi ni mtoto wa kiume kiukweli kukaa miezi miwili mitatu au sita bila kugegeda nashindwa . Najikuta tu nachukua...
  18. juvenile davis

    Asome vitabu gani vya kiswahili na literature kwa A-level ili afaulu?

    Nina mtoto wa dada yangu anasoma HKL form five..anataka kujua vitabu gani vya kiswahili na language(literature) ambavyo ni virahisi akisoma akafaulu?? Nawasilisha
  19. juvenile davis

    Ufupi wangu unanikosesha amani sana kama mwanaume

    Wadau habari zenu? Naamini hamjambo wote, Kama mnavojua huwa sina habari za kutunga humu JF na wala sina jina bandia na wala sina avatar bandia kama wengi wanavofanya, sina majina bandia kwenye social network. Ok nirudi kwenye topic sasa, mimi ukweli sio andunje ila ni mfupi, nimejitahidi...
  20. juvenile davis

    Demu niliyemla mimi, na yeye anataka kula. Ana akili kweli huyu?

    Habari wanajf, Nina jamaa yangu, kiukweli huyu jamaa kanistaajabisha sana.Mimi kuna demu nimekula,bonge moja la mtoto aliyenona haswaa. Sasa nashangaa jamaa yangu naye eti anataka kumla? Anataka ampe vocal kimpango wake na anasema atatumia gharama yoyote ile kumnasa? Sasa kimbembe ni kwamba...
Back
Top Bottom