Search results

  1. H

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
  2. H

    TLS chini ya Lissu kama kweli wanaitakia mema Tanzania waungane kuzima wizi wa Acacia

    Tumesikia mengi kuhusu Acacia kutuibia Watanzania kwa kutumia mikataba, tena iliyoandaliwa na Watazania wenzetu. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kulalamika na kunyoosheana vidole, ni lazima tuchukue hatua. Sheria sio Misahafu. Sheria zimewekwa na binadamu na zinaweza kufutwa au kurekebishwa na...
  3. H

    Kati ya vyombo vya habari na serikali ni nani anaminya uhuru wa habari?

    Vyombo vya habari Tanzania wakuwa wanalia kila kukicha kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Lakini kuna jambo linanitatiza na ningeomba 'Great thinkers' mnisaidie. Jukumu la msingi la vyombo vya habari ni kutoa habari za kweli kwa umma ama waandishi wanazipenda au hawazipendi taarifa au...
  4. H

    CHADEMA NA CUF: Bado mnaamini ni bora kuwapoteza Dr. Slaa na Prof. Lipumba na kumkumbatia Lowassa?

    Karibu kila Mtanzania anafahamu mchango wa Dr Slaa (na Prof Lipumba) katika kujenga siasa za vyama vingi Tanzania. Kwa hali inayoendelea sasa hivi na hasa baada ya matukio mawili (Mkutano wa BAWACHA na Uzinduzi wa kampeni za UKAWA Jangwani) hivi bado CHADEM & CUF wanaamini ilikuwa busara...
  5. H

    Baraza la ushauri la CCM linahujumiwa kukizamisha chama

    Ni dhahiri sasa kuwa CCM kinapitiaa wakati mgumu kuelekea uchaguzi hapo Oktoba, 2015. Tofauti na miaka mingine ambapo mapambano yalikuwa dhidi ya wapinzani, safari hii tatizo ni mnyukano uliopo ndani ya CCM chenyewe ambapo sasa inahofiwa pengine Chama kinaweza kupasuka. Taarifa za...
  6. H

    Mpango wa matajiri kuiteka Ikulu washika kasi: Lowassa akutana na matajiri Kibo Palace Arusha!

    Baada ya kuonesha 'jeuri' ya pesa siku ya kutangaza nia, sasa Lowassa anakutana na wafanyabiashara wakubwa toka Kanda ya Kaskazini kwa lengo la kukusanya pesa. Mkutano unafanyika katika Hotel ya Kibo Palace, Arusha na kwa taarifa zilizopataika ni kwamba tayari kiasi cha Shilingi bilioni 9...
Back
Top Bottom