Vyazo ni vingi sana tatizo wengi huzani Spiritual knowledge inachanzo kimoja tuu na ncho kitabu cha dini yake. Kama mkristu anzani ni Biblia au kama Muislam basi ni Koran. Lengo ni kumjua na kumfuata Mungu basi soma vitabu vyote. Soma Biblia, Koran, Hindu Scriptures, Bavgad Gita, Upanishad, The...
Hizi hadith za kuona nilizisikia kabla sijapata spiritual initiotion na kuzani kwenye meditation kunakuona kama theator za cinema hivi. Nimefanya meditation Lights and Sound kwa miaka 40 sasa uzoefu umenionyesha kwamba ukiona kitu au kusikia chochote wakati wa meditation unakuwa bado unastragle...
Dini imekufunga usidadisi zaidi ya kuamini. Elimu ya kiroho au Spiritual knowledge inapatikana kwa vitendo vya kudadisi na tafakuri. Contemplation and meditation.
Elimu hii inapatikana Rohoni tuu. Hata Yesu alisema ilikuupata ufalme wa Minguni yakupasa uzaliwe mara ya pili. Kwa Mwili na kwa Roho. Pia alisema wamwabudio Mungu kiukweli wanapaswa kumwabudu kwa njia ya Roho na Kweli. KWELI ipo itafute nayo itakiweka huru.
Kweli is beyond mind and words hata ukiijua huwezi kuielezea. Umejitahidi sana lakini watakao kuelewa ni wale waliofika au wale walionjiani kuelekea kwenye Kweli. Kudo sana
Lost years of life of Jesus ilitokea baada ya Baba yake na Mama yake kukumbuka ahadi waliotoa kwa wale Mamajusi waliokoa maisha ya Yesu asiuwawe na Herode.
Kumbuka si waisraeli wala wayahudi na hata wazazi wake walitambua mtoto Yesu anauwezo gani Kroho, bali ni wale mamajusi wataalamu wa nyota...
Usichanganye Uyahudi na Ukikro, Yerusalemu ni mji mtakatifu kwa dini ya Kiyahudi. Yesu licha ya kwamba alizaliwa kwa imani ya Baba na Mama kama myahudi alitengua Uyahudi na Amri kumi. Alifukuzwa kutokufundisha Hekaluni kwani mafundisho yake yalipingana na Uyahudi. Alipokufa wafuasi wake...
Mtoa mada anachanganya kati ya Roho na Moyo. Moyo ni organ ya mwili na Roho ni Uhai. Moyo ni organi ya mwili kazi yake kugawa damu na hewa, wakati Roho ni uwezo wa kuwepo au kuishi.
Pili mtoa maada anamueleza Mungu kwa kutumia akili, ambayo haiwezi kumjua Mungu. Kwani akili inatambua kwa...
Kweli kinyume cha Uwongo. Biblia imesema Mungu ni Kweli na Shetani ni Baba wa Uwongo. Yesu alisema yatupaswa kumuabudu Mungu kwa Njia ya Roho na Kweli. Kuijua kweli lazima tupate picha halisi ya Uwongo kwani kinyume chake cha Uwongo ndio Kweli. Kwa mfano nikikuuliza jee unajua rangi ya Kinyonga...
Wakumbuke kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kulipia vifurushi vya Bima. Ila wengi walijitahidi angalau watoto wao wapate Bima. Wakiunga mkono sera ya Mama mjamzito, mtoto na wazee wapate matibabu angalau bure au kwa bei nafuu. Sasa hii fall out watoto wengi hawatakuwa na Bima. Kama mzani...
Kipindi hicho Yesu alikuwa mafunzoni. Unakumbuka wale Mamajusi, waliropoka kwa mfalme Herode kwamba Mfalme amezaliwa. Na ndio hao waliomuonya Yusufu kuwa mtoto yesu hakuwa salama wamtoroshe. Wale mamajusi walikuwa kama kwa nyakati hizi tungewaita ni maprofesa kwani walikuwa wabobezi kwenye elimu...
Ukisha sema tuu hapo Mwanzo, teyari unategemea kuwa na Mwisho. Mungu hana mwanzo wala mwisho. Na ndio maana akili inayotambua mambo kwa dimensions za Muda (wakati) na Mahali (nafasi) haiwezi kumjua Mungu. Akili haiwezi kueleza au kuielewa infinity state. Mungu ni ROHO na KWELI alikuwepo, yupo na...
Huko ndio kunaitwa matokeo ya kufikiria ndani ya mipaka ya muda na nafasi. Mungu na Mbingu havifikiriki kwani kila kinachofikirika ni cha uwongo. Mungu na Mbingu hupatikana katika hali ya Kweli (milele)
Yatupasa kumuabudu Mungu kwa njia ya ROHO na KWELI kwa sababu Mungu ni Roho. Yohana 4: 23...
Mwili wa binadamu unaumbwa kwa chakula, kabla ya kuwa chakula kilikuwa nafaka, mboga, majimaji, hewa na nyama. Kabla ya hapo ni mazao yalimea ardhini na mifugo iliyokula mimea au chakula kilichotokana uoto wa ardhini. In that process una trans form udongo kuwa mwili. Unapoambwiwa umeumbwa kwa...
Ni fumbo la Roho na Mwili. Fumbo linahusu kujitambua au True Self realization. Roho inakuwa mtumwa wa Mwili na Mambo yake ambayo ni ya ki Dunia(Jela). Licha ya kwamba Roho ni ya milele ikiwa Mwilini inapoteza Ukweli kwamba, haifi, haina njaa, haina kiu, haina nyege, ina own kila kitu hivyo sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.