Search results

  1. M

    Ni kweli mkopo kwa wanaosoma vyuo vya kati kwa sasa unatolewa?

    Samahani, kama haitakuwa shida au usumbufu ninaomba chanzo halisi cha taarifa hii. Hizi habari zimetapakaa sana kwenye mitandao lakini hakuna chanzo sahihi cha habari.
  2. M

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Yaani mpaka ninapoandika ujumbe huu naitumia
  3. M

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Ninayo Redmi HM NOTE 1TD (TD-SCDMA/GSM) inaonyesha "mergence calls only". Tatizo nini?
  4. M

    Msaada wa kuifanya OFFICE 2013 PROFESSIONAL PLUS kuwa activated

    Habari za mida mkuu! Nimejaribu kupiga simu kwa kutumia Skype lakini kwa bahati mbaya mawasiliano hayakuwa mazuri, hatukuweza kusikilizana. Hivyo ninaomba unisaidie confirmation ID ya hizi installation ID 0041925 6691083 1640951 0112914 8289020 2222200 0861501 1696870 7344560. MICROSOFT OFFICE...
  5. M

    Thanks to Torrents Im now running on Windows 8 and Office 2013 Fully Activated

    Kama ume-activate inakuwa sio rahisi kukufanyia fujo. Mie nime-install Windows 8 Professional Edition x64 (MSDN) pamoja na Microsoft Office Professional Plus 2013 x64 - retail (MSDN). Nimefanikiwa ku-activate Windows 8 pekee. Office bado inanizingua. Activator zilizonyingi ni za VL yaani KMS...
  6. M

    Yeyote mwenye password ya hii game!

    Nashukuru sana kakan'gu. Ndo nimemaliza kui-download. Nimei-extract na kupata image yake. Sinashaka itakuwa nzuri
  7. M

    Yeyote mwenye password ya hii game!

    OK! Hatahivyo ni kwamba hawa jamaa wameweka links unapoweza kupata hiyo password ila unakuta nchi yako haina offer. Links zenyewe ni: Link 1 : FileIce LLC Link 2 : ShareCash - Password for TALTrDriS 2012.txt Link 3 : Download...
  8. M

    Yeyote mwenye password ya hii game!

    So, is this going to help! OK! nimeidowload kutoka 'www.torrentbit.net'
  9. M

    Yeyote mwenye password ya hii game!

    Ndiyo ni torrent. Iko kwenye format ya ISO
  10. M

    Yeyote mwenye password ya hii game!

    Tafadhari waungwana naombeni kwa yeyote mwenye password ya SCANIA TRUCK DRIVING SIMULATOR anisaidie!?Nimejaribu ku-google na hizi (AZMFX-32YQK-56TAD-EUA9R-Z31Z0) nilizopata hazikunisaidia. Nimedownload hii game hivi majuzi lakini inakataa kufunguka!
  11. M

    Pata free tv stations zaidi ya 200 free of charge!!

    Nimedownload TVU 2.5.0.1 na ku-install hiyo software kwenye windows 7 64bit, inakataa kufungua. Inaonekana kama haiko stable!
  12. M

    Ermegency!!!

    Naomba "Username" na "Serials" ya "Propel Accelerator 6.1.6.1103" au "propel accelerator 6.3.0.3303" Ninatumia Dial Up connection na eneo ninaloishi net ni magumashi ila nimepata hii software na inaonekana tatizo langu linaweza kupata ufumbuzi. Nimejaribu kutumia...
  13. M

    Naomba Keys za Propel Accelerator

    Naomba "Username" na "Serials" ya "Propel Accelerator 6.1.6.1103" au "propel accelerator 6.3.0.3303" Ninatumia Dial Up connection na eneo ninaloishi net ni magumashi ila nimepata hii software na inaonekana tatizo langu linaweza kupata ufumbuzi. Nimejaribu kutumia...
  14. M

    Your Free Airtel INTERNET solution is Here

    These are all the tricks known so far ~cheers~ You need a PC or a Laptop and the required connectivity tools ,ie., Serial/USB cable OR Infrared Device OR Bluetooth dongle 1) Activate Airtel Live! ( It's FREE so no probs) 2) Create TWO Airtel gprs data accounts (yep TWO) and select...
  15. M

    Msaada wa zain internet setup

    Nashukuru sana waheshimiwa kwa maelezo yenu marefu na yaliyojaa tija. Nimefarijika sana kwa maana nami kwanza nimefanikiwa kuichakachua modem yangu,ila mimi nilitumia DC-UNLOCKER, pili hoja hii ya manual set-up ya internet connections ya mitandao hiyo mingine kama Zain & tiGO imeniwezesha kuamka...
  16. M

    Vodafone Mobile Connect

    Nimeinunua kama miezi 2 iliyopita, na ndiyo ninayoitumia mpaka sasahivi. Ila sema tu mtandao ndio unaonibania. Kuhusu bei yake niliichukua kwa Tsh.55000/=
  17. M

    Vodafone Mobile Connect

    Poleni na majukumu ya kila leo wanajamii. Ninaomba kufahamu jinsi ya ku-unlock modem hii; Vodafone Mobile Connect HSDPA USB Stick Model; K3565-Z FCC ID:Q78-K3565-Z ZTE Corporation IME:356517039971562 Hii ni kutokana na kwamba mahali ninapoishi hivi sasa mtandao wa voda ni mashati na sina uwezo...
Back
Top Bottom