Search results

  1. M

    Elections 2010 Pole Dr.Slaa

    Pole sana Dr. Slaa kwa kushindwa lakini inakubidi ukubali matokeo na kama umeonewa basi nenda kwenye tume ili uweze kufungua mashtaka. Licha ya kupigiwa debe na baadhi ya makanisa uchwara yasiyo na tija kwa watz pamoja na asasi zinazojiita za kiraia badala ya kusema ukweli ni za kidini(angalia...
  2. M

    Kutuwekea mgombea msomali ni kudhalilisha Taifa

    Kuna viongozi wa chama fulani nchini ambacho sera zake zinazofanana na mafreemasons(wale wanaosalimiana kwa ishara ya vidole viwili kama akina Bush,Saddam,Obama,Ahmednijad,Arafat,tonny Blair n.k)kuamua kwa makusudi kumteua mgombea urais ambaye ana wajihi na sifa za kutoka nchi ya Somalia kwenye...
  3. M

    Elections 2010 Ni Mgombea yupi atapoteza maisha kabla ya Jumapili?

    Posted by GLOBAL on October 25, 2010 Na Issa Mnally Hali ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ali Omar Juma ikielezwa inarejea vizuri, kiwewe kinatawala kuhusu anayetajwa kufariki dunia kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, 2010. Ingawa...
  4. M

    Ya Leo Kali: Kiingereza Ni Lugha Tu, Hata Watoto Wanaongea!

    Ya Leo Kali: Kiingereza Ni Lugha Tu, Hata Watoto Wanaongea! ( Mjadala unaposhika kasi, mjumbe hapa chini kaamua kumfungia mtu kazi. Mwenyekiti nasema tuendelee tu!) Narudia tena bwana Mhango na wenzio wote mliokosa malezi mlikotoka, matusi yenu yote mnayoelekeza kwangu na kwa wengineo...
  5. M

    Haya tena wale wakwale

    Wakwale wote mnakaribishwa kumpa mapumziko huyu mdada kwani yeye ni mshabiki mkubwa wa chama dume kinachoongozwa na yule jamaa!
  6. M

    CCM: Enjoy ha ha ha

    Ebu angalia mmbo ya chama kubwa hayo1
  7. M

    Hivi hii ni haki kweli?

    Jamani nimeikuta katika library moja kule Qingdao,China.sijuhi kama watu wataweza kuishabikia kwani sidhani kama inavutia,ebu tazama mwenyewe!
  8. M

    Hoodiii

    Bwana Yesu asifiwe!Nimekuja katika jukwaa la watu wenye vipaji,naingia jamani wekeni mikono mnibebe!
Back
Top Bottom