Hivi hii ni haki kweli?

mbea

Member
Oct 12, 2010
97
1
Jamani nimeikuta katika library moja kule Qingdao,China.sijuhi kama watu wataweza kuishabikia kwani sidhani kama inavutia,ebu tazama mwenyewe!
 
Attachments

  • MAZIKO.jpg
    MAZIKO.jpg
    27.6 KB · Views: 165
Jamani nimeikuta katika library moja kule Qingdao,China.sijuhi kama watu wataweza kuishabikia kwani sidhani kama inavutia,ebu tazama mwenyewe!

This is just a photo to illustrate defeat
 
Eti mimi nimetafsiri anayeenda kuzikwa ni mpenzi wa Arsenal............. sasa kuna ubaya gani kama wamemtengenezea jeneza la timu aliyokuwa anaipenda?
 
Back
Top Bottom