Search results

  1. I

    Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Ally Kessy Mbunge Sijajua Vigezo Walivyotumia Kumpa Ubunge!
  2. I

    Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Mbunge Ndio Yule Wa Nkasi Kask. Wananchi Mnavuna Mlichopandaaa!
  3. I

    Kuendelea kuchangia michango kwenye mifuko ya wafanyakazi ni ujinga uliopitiliza

    MIMI SIKUJIUNGA KABISAAAA, SITA WEHU MIMI
  4. I

    Onyo kwa mawakili wote wanaopanga kuandamana kesho kwa ajili ya Lissu

    Aisee mleta mada, lakini kumbukeni nasema kumbukeni
  5. I

    Je, ni sahihi kwa vyombo vya habari kumuhoji mtu ndani ya mahakama?

    RPC ALISEMA KUWA KWA MUDA ULE WANGETAKA KUMKAMATA WANGEMKAMATA NDANI YA MAHAKAMA KWANI MUDA ULIKUWA UMEISHA NA KILICHOKUWA KIMEBAKI NI MAJENGO, NAJIULIZA PAMOJA NA HOJA YA MLETA MADA KWAMBA HADHI YA MAHAKAMA NI WATUMISHI AU MAJENGO AU VYOTE MAJENGO NA WATUMISHI? ANY WAY KWANGU MIMI SIO KOSA .
  6. I

    TRA kufunga vituo vya mafuta: Bei ya lita moja yauzwa 5000/ = kwa baadhi ya maeneo

    Yaani natoka hapa wewe hujengi hoja unapinga tuuuu.....tulia bro tushauriane tusonge mbeleeee
  7. I

    TRA kufunga vituo vya mafuta: Bei ya lita moja yauzwa 5000/ = kwa baadhi ya maeneo

    Tunafahamu umuhimu wa kulipa kodi, ILA HII TABIA YA VIJANA KUTETEA KILA KITU HATA VIONGOZI WANAPOKOSEA INAKERA SANAAA, HAKUNA ALIYE MKAMILIFU. HAPA WANANCHI NDIO WANATESEKA JAMANI WAONEENI HURUMA
  8. I

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Miss Yoga ulipotelea wapi mzee wa update
  9. I

    Mkuu wa Wilaya ya Hai amejaa kwenye 18 za Mbowe, alalamika Kushitakiwa Peke yake

    YAANI HATA KAMA NI MPINZANI LAKINI NAE BINADAMU KAMA YEYE.......WATANZANIA TUKUMBUKE NI KWA MUDA TU, TUPPO DUNIANI NA HAKUNA ANAYEMILIKI NCHI HII. AHSANTE, NALOGI OFU
  10. I

    Rais Magufuli, Siasa za shombo la Guru hazilipi

    hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, MTU WEWE UTAVUNJA MBAVU WATU.
  11. I

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Naungana na wewe jamaa atusaidie kujua katumia mbinu gani kuhama
  12. I

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    TUNAOMBA KAMA UNAWEZA KUTUWEKEA HUO WARAKA TUONE MKUU WANGU , KAMA UMEBAHATIKA KUUONA. REGARDS.
  13. I

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Salute MISS Yoga! bibafsi nakushukuru sanaaaaaa kwa updates.....tuombe updates za uhamisho nje ya Mkoa zinakaaje! AHSANTENI SANA.
  14. I

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    MR. RUBYA 455, majina .inayo ila siwezi kuaattach hapa, ssory ni wale waloandikiwaga "UTATA"
Back
Top Bottom