Pia huko chuoni kuna majipu. Unakuta mwanafuzi analipiwa na bodi ya mikopo anapoacha chuo mkopo wake unaendelea kuja.sasa sijui ni nani anaipokea iyo pesa...??
Takribani imepita miezi mi nne tangu awamu ya tano kuingia madarakani na mjadala mkuu inayotikisa kwa sasa ni kile kinachoitwa "kutumbua majibu" wananchi wanashangilia na kuchekelea sana utumbuaji huko, hoja ni kwamba kumng'oa mtu na kumuweka mwingine kwenye taasisi ileile yenye udhaifu mkubwa...
Anatokwa na ute wenye rangi kama njano hivi kwenye uume na ute huo hauna tofauti na shahawa.
Na hutoka kidogo kidogo Mara kwa mara na wakati wa kukojoa huambatana muwasho na maumivu kiasi.
Tatizo litakuwa ni nini.
Msaada Tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.