Search results

  1. M

    Watalaam wa Kilimo

    Hiyo ya bibi Shamba imekaa vizuri ila yataka moyo. Shughuli zipo Mkuranga ndugu yangu
  2. M

    Watalaam wa Kilimo

    Asante kaka ninashukuru sana kwa information hii itasaidia kweli
  3. M

    Watalaam wa Kilimo

    Habari ya asubuhi wakuu, Jamani naomba kuuliza; hivi watalaam wa kilimo (Farm Manager/Bwana au Bibi shamba) wanalipwa mshahara kiasi gani? Mwenye diploma au certificate, ninauliza kwa kuwa nipo kwenye kilimo na kadri siku zinavyoongezeka natamani kulima kisasa zaidi hivyo ninahitaji kuajiri...
  4. M

    MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

    Wengi tunausubiri huu mdahalo, acha uwe kwa kimombo ili watukanaji wapungue tuweze kufaidi madini toka kwa wahusika
  5. M

    Waziri Mulugo azidi kuandamwa

    Ni raha sana kuwaona wanasiasa wawili au zaidi wakilumbana, hofu yangu isije ikawa ni janja yao ya kutaka kutuondoa katika focus ya maendeleo ili tusifanye appraisal ya kazi zao. Lakini pia unachokisikia kutoka kwao sio kweli kwamba siku zote kinawakilisha picha halisi. Sijajua kama ni makosa ya...
  6. M

    CPA(T) v/s MASTERS

    Ndugu yangu chaguo la elimu ni lazima lifuate malengo yako. What do you want to achieve? ukiishajua hilo tafuta aina ya ujuzi au cheti kitakacho support muelekeo wako. Vinginevyo utafanya masters au CPA na usijue cha kufanya au ukawa mtu wa wastani katika mafanikio. Nimesema haya kutokana na...
  7. M

    Activation key for window 7

    mkuu yangu ni window 7 ultimate inagoma
  8. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Tayari ila kiinglishi kimetusumbua saaaana
  9. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Jamani mbona Sugu haulizi swali?
  10. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Kidhungu issue kwake
  11. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    LAT Kwa mtazamo wangu swali la Mwakyembe lilijitosheleza na la muhimu sana kwa kuzingatia hali ya sasa ambapo kuna unfair flow of resources. Ukiliangalia kwa undani (wazungu wanaita reading between the lines) utaona umuhimu wake, na ninafikiri kama Shyrose angeweza kujibu vizuri lile swali...
  12. M

    Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Mkuu mbona nimepiga namba hiyo jamaa kaniambia hausiki na mambo ya kilimo?
  13. M

    Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Kaka nipo Dar nalimia Mkuranga katika vijiji vya mkiu na Mkuruwili, nahitaji mbegu kwa ajili ya mkuruwili
  14. M

    Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Wakuu naomba kujua wapi ninaweza kupata mbegu ya minanasi, nina kajieneo mahali sina plan nako kwa mwaka huu hadi mwishoni mwa mwaka kesho. sasa sitaki kukaacha kakae bure ni wapi ninaweza kupata kama miche 40,000 au zaidi na kwa bei nafuu? Jone Mwalwisi Wapendwa Nashukuru kwa mchango wenu na...
  15. M

    TBC aibu tupu - Maigizo matupu

    Hivi JF kazi yake ni kupinga kila kitu cha serikali, na kila atakaetetea jambo la serikali kwa muono wake? JF haithamini uhuru wa mawazo wa kila mwananchi? Ili nisitukanwe au ili niwe popular ni lazima niiponde serikali?
  16. M

    CRDB query help please

    Ingia hapa utazipata zote bila shida mkuu Download Forms
  17. M

    Maarifa ya Kiasili/kienyeji ktk ufugaji

    Malila kwa hilo la moto sijalisikia bado, ila hili la bata kama utakumbuka mwaka jana niliwahi kuandika hapa nikiomba msaada wa dawa, bata wangu wadogo walipofikisha wiki 2 wakaanza kuanguka miguu juu wanakufa. Nilishauriwa dawa nyingi hapa including OTC plus, lakini waliendelea kufa nilipoteza...
  18. M

    nauza shamba kwa nusu eka million 5. Lipo kigamboni km 7 kutoka funcity.

    Mkuu kwa vielelezo ulivyoweka unaweza usinivutie sana kununua shamba hilo, labda ungeeleza ni investment gani iliyofanyika katika shamba hilo hata ukapangabei hiyo. Ukiondoa ukaribu wa shamba hilo na funcity kuna kitu gani kingine cha kuongeza thamani ukizingatia kuwa halijapimwa na wala umeme...
Back
Top Bottom