Search results

  1. Singo

    Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Umewaelewa wanawake vizuri,Mimi nimefikiri kama wewe
  2. Singo

    Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Ongeza hela ,wao thamani yao ya posa ndio hiyo 250,000 ,usitake kulinganisha na wengine uliosikia.
  3. Singo

    DOKEZO Nimelipia Bima ya Afya NHIF Mwanza, nazungushwa kupata kadi. Kibali cha matibabu pia hawanipi

    Hii imeanza lini. Kadi za watoto Ile ya 50400 ndio ilikuwa miezi mitatu,Ila watu wazima ni siku 30
  4. Singo

    Sikujua wapo Raia Mjini analipa kodi ya nyumba 2M kwa mwezi?

    Kwa masaki amepata ya bei nafuu
  5. Singo

    Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

    Hata kama imetungwa imeendana na ukweli
  6. Singo

    Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

    Yep ni mimi,Jeff nimefanya nae kazi kadhaa na bado huwa tunawasiliana
  7. Singo

    Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

    Lakini Kwa hapo nilivyosoma taarifa yao naona si mwekezaji mpya ni Jina Tu limebadilika ,tin inabaki ileile,faili Lao brela inabaki hilohilo sababu kubadili Jina hakubadili incorporation no ,sasa Kwa hapo tax exemption inakuaje NB :Nimefanya kazi ya kubadili majina ya makampuni Kwa miaka...
  8. Singo

    Ulipo kuna umeme muda huu?

    Nikadhani ni hapa tu msasani
  9. Singo

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Vipi ikiwa wakakupa ' unabii ' kwamba mke wako ni mchawi ,hivyo wakakuambia umuache na uoe mke mwingine toka ndani ya jumuiya yao na ukafungia ndoa ktk kanisa lako.Kama ikiwa hivyo wao ndio wanakuwa wamekuachanisha na mkeo.
  10. Singo

    Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

    Rate ya wanaopoteza ni kubwa huo ni ukweli mchungu na utaendelea kuwa hivyo. Binafsi siwezi mshauri mtu asifanye au afanye Ila ajipime yeye mwenyewe je ni aina ya biz anayoona itamfaa. Je Yuko tayari kujifunza mwenyewe kupitia soko bila kuwategemea hao wanaojiita mentors. Je anapenda na...
  11. Singo

    Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

    Trading haiwi rahisi sababu watu wanaofanya ni wachache au wengi . Ugumu wa soko uko tangu kitambo. Ukitazama macro chart ya currency(chart ya miaka zaidi ya arobaini) mfano EURUSD au GBPJPY utaelewa kwamba market hakuna wakati imewahi kuwa nyepesi na kamwe haitakuja wakati ikawa rahisi...
  12. Singo

    Jitahidi sana kuishi vizuri na watu wa JF

    Hii nayo chai kumbe!
  13. Singo

    Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

    Sababu chances za kukulipa ni asilimia ndogo sana
  14. Singo

    Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

    Uwe kama umempa tu
  15. Singo

    Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

    Japo sifahamu hii Stori ,Ila naona huyu Rojas ataharibu tu
  16. Singo

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Capital clause : mtaji ikiwa 1,000,000 na ukaamua jumla ya shares ziwe 100 basi thamani ya kila share inakuwa sawa na mtaji gawanya Kwa total number of shares ambapo unapta thamani ya kila share moja ni 10,000. Kuamua total number of shares iwe ngapi inatemeana na wewe unapenda value Kwa kila...
  17. Singo

    Mwendokasi UDART mmefeli

    Abiria wa Kimara wanaotokea kivukoni na gerezani ni wengi na wanajaa sana, nafuu iko wanaojiongeza kuenda kupandia Morocco. Abiria wanaofaidi Mwendekosi ni Kinondoni
Back
Top Bottom