Search results

  1. Betason

    Kahama JF wing nipo mjini kwenu tayari

    Ameshakua kinyonga Mara aseme ameacha mara anarudi tena kilingeni
  2. Betason

    Kahama JF wing nipo mjini kwenu tayari

    Ila mkuu si ulisema umeshaachana na matunguri imekuaje tena??
  3. Betason

    MSAADA: Gharama za kujifunza kuendesha gari

    Mkuu ww upo kama mm tu, sikuwahi kwenda driving school ila nilijifunza kupitia YouTube na siku nimeshika gari nusu saa tu ilitosha kuniingiza barabarani rasmi Nimejifunza kwamba kama mtu yupo vizur kufuata maelekezo ya theory bas hata kwene practical atakua vzur pia
  4. Betason

    Ukweli kuhusu Blood Group 'O'

    Ni ya kweli mkuu..jitahidi utakapopata ujauzito wa pili uchome hiyo sindano
  5. Betason

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    suzie _barbie siamini kabisa kama sijaona fantasy yako hapa[emoji41]
  6. Betason

    Wauza smartphone tukutane hapa

    ipo 500k mkuu..kwa mazungumzo zaidi nichek PM
  7. Betason

    Wauza smartphone tukutane hapa

    wakubwa nahitaji simu xiaomi redmi note 10 pro
  8. Betason

    Kwaya bora Afrika Mashariki na kati

    nabarikiwa sana na kwaya hizi; Essence of worship, zabron singers, tumain choir, AIC chang'ombe vijana
  9. Betason

    Kununua Xiaomi redmi 10C

    kwan zinazouzwa na makampuni zina tatizo mkuu?
  10. Betason

    Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    mkuu ww sio mchoyo? mara ya mwisho umemtumia lini pesa rafiki yako yoyote aliekua na shida wa "kiume"??
  11. Betason

    Wakuu acheni michepuko

    ivi kiswahili cha huyu binti mnakielewa? ebu tulia uandike vizuri ueleweke pia nakushauri uwaone wataalamu wa afya ya akili upate tiba mapema
  12. Betason

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    kampeni na iendelee kwa kufanya hivi; #NoFap kwa kila nyuzi humu jf hasa za MMU mm ntaanza challenge tareh 1 june
  13. Betason

    Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    fainali ya uefa nitaichekia pale..karibu mkuu Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  14. Betason

    Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    mleta mada nakushauri nenda kipong afu ulete mrejesho
  15. Betason

    Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    ongeza na hii orlando garden ipo sakina raskazone pale.. mopao lounge moshono machimbo yapo mengi mazuri sema mleta mada hakupewa muongozo mzuri
Back
Top Bottom