Search results

  1. N

    Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

    Jamani mleta uzi amjibu basi huyu mdau, hata mimi sijapaona pa kuapply now.
  2. N

    Nitawezaje kuishi chuo bila mkopo, naombeni ushauri

    Kaza buti mdau, mi nimesoma bila mkopo UDSM waka 2011-2014, nimemaliza, mama alikuwa anauza maandazi na baba alishaendaga kula mchanga tangu nilipokuwa form four. Ushauri kaa sana na wana, mimi nilikuwa napigwa support na washkaji had nilipopata demu wa kizungu mwaka wa tatu nikawa nimesahau...
  3. N

    Data Za Mchepuko Wako Ninazo. Jishtaki Yote Nakusamehe, Bisha nithibitishe Na Kuvunja Ndoa

    Una kipaji cha kuandika vitabu wewe, jaribu kuomba kuandika article katika gazeti lolote mjini hapa au hata vibe magazine na bang wanapenda sana srticle kama hizi.. your such a creative lady, Kudos! i would have helped you taking it to the next level but i am abroad for a while. Lara keep it up.
  4. N

    Nawatakieni Kwaresma Njema

    Serikali hatuna dini we nyoko.
  5. N

    Hawa jamaa wanatisha

    Dah kumbe watanzania wengi hawajasoma na hata wenye shahada vichwa vyao vimejaa maji.. kaeni na ujinga wenu wa kutopenda kufatilia mambo.. Hivi unajua chanzo cha IS? Unajua nini America imefanya baada ya kukataliwa kuingia Syria na Its allies Russia? Unajua Foreign Policy ya America ya...
  6. N

    Hawa jamaa wanatisha

    Kuna watu humu JF sijui wameishia la saba... sasa kwani hawa IS wana uhusiano gani na imani ya Kiislamu? je wanaouliwa wote ni Wakristu? mbona had waislamu wenzao wanawapiga moto na kuwatupa juu toka gorofani! Someni vijana wenzangu msipende ushabiki... akili kisoda
  7. N

    Picha za uongo zinazotumika za Amboni

    Ujinga wa CCM wanajua watanzania fuata upepo, wanataka tusahau kujadili vitu muhimu kama katiba, tuanze kushabikia uongo wao... This is bull shit
  8. N

    Kuomba paspoti mpya : cheti cha kuzaliwa cha mama au baba ni lazima

    Mdau affidavit ni buku tano bwana, si big deal hata kidogo.
  9. N

    Wanawake Ukiisaka Ndoa Ndo Huipati Kabisaaaa! Kupaparika Ndo Kunaharibu. Aolewa 35YRS kimzaha mzaha

    Kuna kidemu cha kimacheni, wallah kile hakitakuja kuolewa, kabinti kanachagua kama chuya kwa mchele... nilikapata kwa kumuibia rafiki yangu chuo kikuu. Mwaka jana kakanipiga chini, miezi iliyopita kalipata mdau nyamihela. Mi nikajua atatulia, juzi eti kamempiga chini kisa jamaa ajaenda...
  10. N

    VIDEO: Majigambo ya Vijana wa Tanga (magaidi?) baada ya kuwapora silaha Polisi

    Nchi kama inashindwa kuwapatia fursa za ajira vijana wao hili ndo bomu alosemaga mzee Lowasa.. Ninachokiona hapa ni kundi la jobless flani ambalo hata halina organization, ni ujinga na kukata tamaa ya maisha. Kama kuna mpuuzi humu atasema ni uislamu ntamshangaa sana.
  11. N

    Miaka mitatu michungu mtaani

    Bachelor ya Finance mwaka wa tatu upo kitaa!!!!!!!!!!!!! mwananangu huna shida nyingine ianonekana elimu yako ni desa oriented ila upgrade yourself man penda sana kusoma vitabu, najua hapa tatizo ni uwoga na kujieleza.
  12. N

    Msimamo wangu

    shule ya msingi buguruni malapa.
  13. N

    Naapa kwa hili sijawahi kuliona kwa wazungu

    Pole kwa huyo mwanamke shupavu ambaye dume lake hadi sasa alijawai kutoka nnje ya nchi.. amezaa jembe la kijiji, mjini ni Dar es salaa. For your information wenzetu wanawaweka kwenye facilities special builty kwa walemavu, wazee, wendawazimu na matahira hadi watoto maaana wote ni disabled. Mkuu...
  14. N

    Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

    We endelea na mapambano kaka, nchi yko kila siku watu wanapiga billions we unefatilia mambo ya dunia nyingine, kwani muislamu nwnzangu ukileta ujinga nikubebe kwa kuwa ni muislamu.... bullshit kwani dini ndo nini? Wewe waache na dunia yao, wakata Benjamin Netanyau anapiga shule kule Pallestina...
  15. N

    Rais wa Ujerumani atumia boti ya Azam kwenda Zanzibar

    Raisi wa ujerumani ni kama mwenyekiti wa kijiji hapa Tanzania... usiogope kaka. Ingekuwa Engela Markel ndo kaenda huko ungetakiwa kustuka.
  16. N

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    We mnafiki una lolote! nani mwenye pesa anaweza peleka mtoto huko chanaganyikeni? taka taka schools built for for political interest... na kama kweri mtoto wako yupo Kata we ni cleaner tu hapo TAMISEMI Tandahimba.... zile siyo shule na serikali inajua. Ivi we keri una elimu wewe? unajua shule ni...
  17. N

    Haya ndio majina ya kike mazuri karibu kuliko yote niyapendayo

    Jackline vipi?? wanakuaga wazuri ila si wachoyo wa papuchi.
  18. N

    Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    We mdakuzi hauna akili hata kidogo, au huyu ni kaka ako? mi naona sawa walivyomfanya ili na yeye ajute, mi kaka angu ameathirika na haya madawa...
  19. N

    Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Hii ndo tabia yake, hana lolote huyu akishapa lite mbili zinaenda chini mara moja, mi nshanawa sana papuchi zao..
  20. N

    Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Ndiyo tabia yako wewe miss Neddy? Huyo mwenzako pombe huwaga zinakimbilia chini.
Back
Top Bottom