Haya ndio majina ya kike mazuri karibu kuliko yote niyapendayo

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,993
23,529
Noelina Imelda Cotrida Conjesta Consesa Severina Notibruda Vedastina Adolfina Sarafina Veneranda Atanasia Anjelina Hepifania Debora Roda Jesca Truda.

Yaani nikisikia mwili unasisimka vibaya.Yeyote mwenye moja ya majina hayo alie single na umri chini ya 25 ani pm nitampenda maisha yangu yote, kila la heri.
 
Noelina Imelda Cotrida Conjesta Consesa Severina Notibruda Vedastina Adolfina Sarafina Veneranda Atanasia Anjelina Hepifania Debora Roda Jesca Truda. Yaani nikisikia mwili unasisimka vibaya! Yeyote mwenye moja ya majina hayo alie single na umri chini ya 25 ani pm nitampenda maisha yangu yote, kila la heri.

Jackline vipi?? wanakuaga wazuri ila si wachoyo wa papuchi.
 
mimi uwa nayapenda atugonile, atupele, atungesinye, cheusi, tabu, shida, chahusiku, wenye majina hayo niiteni mimi uwa nakodiwa kupiga shoo.

Mimi napenda sikitu, sabina, siwazuri, sijaona ingawa wanakuwa weusi sana na hawanaga sura nzuri hata mara moja. Sema wanakatika mno uwanjani...!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom