Search results

  1. J

    Gari hii inahitajika!!!!

    Mimi ninayo carina TI ya mwaka 2002, ipo kwenye hali nzuri sana, haijawahi kuguswa engine, imetembea kilomita 78,000, engine size 1500 cc bei ni 8M
  2. J

    Nyumba inapangishwa bunju b!!

    Hapana nyumba ipo bunju na sio mabwepande, na ni kweli bomba la DAWASCO lipo (na majirani zangu waliopo kabla ya kufika kwangu maji yanatoka) lakini maji hayana presha kabisa kuweza kufika kwangu, wataalamu wa maji walikuja kuangalia ndo wakanishauri kuwa wala nisihangaike kuvuta bomba lao...
  3. J

    Nyumba inapangishwa bunju b!!

    Samahani sijaipiga picha, kwa ndani ipo kama nilivyoeleza na kwa nje, imeezekwa kwa bati la migongo mipana, ina vioo vya aluminium, na ina rangi nyeupe. Na imekwekwa tiles nyumba nzima.
  4. J

    Nyumba inapangishwa bunju b!!

    Samahani sijaipiga picha, kwa ndani ipo kama nilivyoeleza na kwa nje, imeezekwa kwa bati la migongo mipana, ina vioo vya aluminium, na ina rangi nyeupe. Na imekwekwa tiles nyumba nzima.
  5. J

    Nyumba inapangishwa bunju b!!

    Ok nashukuru ndugu yangu
  6. J

    Nyumba inapangishwa bunju b!!

    Ina umeme, haina parking ila ina nafasi ya kupark zaidi ya magari matano na nafasi kubwa inabaki, hapana maji ya DAWASCO hayajafika ila kuna tank la lita 2000 na tunapanga kuchimba maji, ni dk tano kutoka main road na barabara inapitika vizuri sana hata kwa gari dogo, ni maeneo yaliyopimwa
  7. J

    Nyumba inapangishwa bunju b!!

    Habari ma-great thinker!! Nyumba mpya inapangishwa Bunju. Ina vyumba kama ifuatavyo; Master bedroom (self contained) - 1 Vyumba vya kulala viwili (wanashare choo) - 2 Library/Study room - 1 Sebule -1 Dinning - 1 Kitchen na stoo Choo cha wageni - 1 Sehemu cha kupumzikia - 1 Baraza la kubwa ya...
  8. J

    COSTECH na grant za R&D

    Ma great thinkers kama huna cha kuchangia au hujui subject matter inayokuwa discussed ni bora kukaa kimya. Usiishushie hadhi ya forum hii inayoheshimika kwa watu wengi wapenda haki na maendeleo, including mimi ninayechangia. Nikweli shcolarship za Msc na Phd zimeshatoka na wanafunzi wengi...
  9. J

    Waziri wa mawasiliano kalipwa na makampuni ya nje kuiua shirika la ndege la tanzania.

    Jamani waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teke linalokujia ni Makame Mbarawa na naibu wake ni Charles Kitwangwa. Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu akisaidiwa na Naibu Waziri - Athuman Mfutakamba. Tusichanganye mambo wa ndungu
  10. J

    Mambo ya rais bishoo - JK

    The Ten Most Expensive Gifts President Obama Was Given in 2009 Thanks, Pope!Photo: Saul Loeb/AFP/Getty Images For the sake of transparency and ethics, probably, the State Department has released a list of all the gifts federal employees received from foreign governments in 2009. (Why did it...
  11. J

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Pole sana mpendwa unayeuguliwa na mtoto wa dada yako. Naomba na mimi nikupe experience yangu, nina mtoto wa miaka mitatu sasa alikuwa anasumbuliwa na pumu tena kali sana, alikuwa akipata mafua tuu basi lazima kifua kimbane, yeye ikimpata ilikuwa ni lazima apate sindano, nebulizer, salbutamol...
  12. J

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    Jamani mimi nilikuwa nasikiliza radio na nimesikia Mnyika kapata kura 96,000 na siyo 66,000 naomba nisaidiwe, Urais hawakutangaza. Mwenye uhakika zaidi atusaidie. All in all mbuge wangu Mnyika hongera sana and you deserve it
  13. J

    Elections 2010 Mnyika mbunge wa ubungo.

    Ni elfu tisini na sita (96,000) walikuwa hawasikiki vizuri jamani, ila mgombea wetu amepeta sana tuu
  14. J

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    Source WAPO radio 10:46 Kwa kura elfu sitini na sita na ushee
  15. J

    Elections 2010 OFFICIAL RESULTS: CHADEMA yashinda kata 9 Musoma mjini

    TARIME Mgombea wa CHADEMA ameshinda kwa kura elfu 21 dhidi ya CCM kura elfu kumi na nne na imeshuchukua robo tatu ya udiwani, hii imeshantangazwa i.e ni matokea rasmi. Source TBC 1 na Star TV
  16. J

    Elections 2010 Happy Birthday Dr. W. P Slaa

    Mheshimiwa Rais wetu mtarajiwa, Mimi na familia yangu tunakutakia heri na nafaka katika kumbukumbu yako ya kuzaliwa. Mungu akupe maisha marefu sana yenye heri na baraka tele. Wewe ni jasiri na mwenye uchungu na nchi hii. Tuko pamoja na wewe. We love you Dr
  17. J

    Hizi ndio kauli za Dr. W. P. Slaa....!

    DR SLAA ana upeo wa juu sana. Ukifuatilia hotuba yake utaona kuwa alichokuwa anaongea ni policy related issues. Kwa level ya presidency uwezi ikuwa unaongelea consumer lists. Barabara, hospitali, shule ni kazi ya msingi ya serikali iliyoko madarakani. Juzi au jana, JK alikuwa alipokuwa Karatu...
  18. J

    Piga kura ya Maoni ya Urais Okt 1-3, 2010

    Dr Wilbrod Slaa
  19. J

    Elections 2010 CCM ina rekodi ya utekelezaji 2005 - 2010

    Kutoka mwaka 2005 hadi 2009,jumla ya zahanati 464,vituo vya afya 98 na nyumba za waganga 394 zilijengwa. Zahanati 1,037 vituo vya afya 285 na hospitali 112 zimekarabatiwa. Kujenga/ kuongozeka zahani pekee hatusaidii chochote, ungesema na wauguzi/ madaktari/manesi nk wangapi wamesomesha ndo...
Back
Top Bottom