Search results

  1. SiimaK

    Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    Safi sana, yule Mama alidharau manispaa ya Kinondoni alipoambiwa afunje hiyo nyumba yake. Ikivunjwa nitafurahi.
  2. SiimaK

    Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

    Sikubaliani na ulichoandika, alimaliza Aga khan Mzizima form IV 1983, na alikuwa class moja na brother wakati huo mimi nipo form III hapohapo Mzizima na wakati huo nilikuwa nasoma na mdogo wake anaitwa Jamila walikuwa wanakaa Upanga, huyo ana 50yrs old.
  3. SiimaK

    Wanauchumi na watu wa Fedha, nini sababu ya hili hapa?

    Mmmmmh!😃😃😀😀😂😂
  4. SiimaK

    Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

    Huyo yupo around 50 yrs, alisoma darasa moja na brother pale Aga Khan Mzizima s/s.
  5. SiimaK

    Zari amvua hirizi Tiffah

    Wewe unaonaje?
  6. SiimaK

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Hebu nifafanulie kidogo kuhusu hiyo mikopo inabidi ilipwe kivipi na kuna mikataba gani kati ya serikali na wahitimu waliokopeshwa?
  7. SiimaK

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Queen Esther! Mikopo yote inayotolewa kwenye elimu ya juu inakatwa direct kupitia hazina, deductions zote huwa zinafanywa kabisa, wewe unachopokea ni net salary. Sema tatizo kubwa ni waliokopa wengine wanakuwa hawajaajiriwa na hiyo mikopo inabidi ulipe ukishaajiliwa.
  8. SiimaK

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Wewe una akili sana, kwani hivyo vifaa ni sehemu ya mambo waliokuwa wanalalamika madaktali lkn matokeo yake kina Limboka wakaadhibiwa, hizo mashine zitakuwa zinawahusu viongozi walio nje ya Muhimbili, hapo Magufuli anatafuta chanzo cha matatizo yote ndio atoe hukumu ndio maana amemsimamisha...
  9. SiimaK

    Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    We acha tu, mwenyewe imenishangaza wameachwa watetea haki lkn ESCROW team yote imerudi bungeni.😬
  10. SiimaK

    Zari amvua hirizi Tiffah

    Kumvisha mtoto hirizi ni ujinga mkubwa kwani hivyo vitu vilifanywa na watu wa zamani kwa kutofahamu lkn sasa hivi mtu huwezi kumvisha huo uchafu mtoto wako ni sawa na kumkabizi shetani mtoto wako. Big up Zari.
  11. SiimaK

    Rais Magufuli mpeleke Lowassa Mahakamani kama ni fisadi

    Aaanze na kina Tibaijuka na Chenge kwanza.
  12. SiimaK

    African Woman Brutally Assaulted for Speaking Swahili in America

    Ni kweli kabisa abroad ni utumwa hasa kama unatoka nchi za kiafrika.
  13. SiimaK

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Hamna mtu aliyelaani nchi, tunalaani CCM na kwa kuwa imeshalaaniwa muda mrefu haiwezi kuleta mabadiliko, sasa ni lazima tuchague Chama kingine ili tupate mabadiliko kwani hata Magufuli angegombea UKAWA angeshinda uchaguzi.
  14. SiimaK

    Elections 2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

    Ahsante Edward Lowassa, tumeona changamoto nzito ulizowaonyesha viongozi wa CCM, na kweli wasipokuwa makini na uongozi wao na ahadi tele walizozitoa wajue watatoka madarakani kwani kila baada ya miaka mitano wana mabadiliko wanaongezeka. Tunakutakia afya njema na amani ya moyo. Mungu awe nawe...
  15. SiimaK

    Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    Watanzania bado sana kujielewa.
  16. SiimaK

    January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    Bado wanafikiria watanzania ni wajinga, mbona anakimbilia kuongea hivyo naona anaujua ukweli kuwa kuna hujuma zimefanyika.
  17. SiimaK

    Sisi wanaume ndiyo tumesababisha wanawake kuongezeka

    Sio kweli na unachosema, jaribu ku google na uangalie tu watoto wanaozaliwa kwenye mikesha ya Christmas kila mwaka na hospitali tofauti utaona watoto wa kiume wanazaliwa wengi kuliko wa kike.
  18. SiimaK

    Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

    Yaani wengine tulikuwa hatujui kama hii katiba inamanufaa kwa mtu mmoja sio watanzania. Mmmmh sijui tutafika wapi!
  19. SiimaK

    Vifo vya wanasiasa kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 2015

    Amen, tuchunge midomo yetu.
  20. SiimaK

    Ni kweli Kenya Umeme haukatiki hovyo?

    Sijui, lakini unakatika wakati mwingine.
Back
Top Bottom