Search results

  1. P

    Nokia n96 inahitajika

    Mwenye simu tajwa hapo juu inahitajika haraka sana bajet 60 elfu
  2. P

    Nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Habari wana JF, Naomba kwa yeyote mwenye taarifa za ajira ya utumishi wa mahakama za tarehe 2/2/2015 anisaidie nimeskia washaita watu kwa ajili ya interview ila sijaona link ya kuangalizia majina. Asanteni
  3. P

    Wizara ya Kilimo watatoa lini ajira?

    Naomba kuuliza kwa anaefahamu Wizara ya Kilimo itatoa lini ajira zake tumesubiri sana kimya afu walituzuia kusoma wakisema hadi tuajiriwe tufanye kazi kwa miaka miwili ndio tukasome hadi leo kimya maisha magumu.
  4. P

    Natafuta kazi kwenye sekta ya kilimo

    msaada wa kupata kazi kwenye sekta ya kilimo tafadhalini,nimehitimu astashahada ya kilimo ma mifugo,, kwenye makampuni ya kilimo au kazi yoyote!!natanguliza shukran kama ntasaidiwa
  5. P

    Msaada wa kupata kazi

    habar yenu member wenzangu,mimi ni kijana wa miaka 23 nimehitim astashahada ya kilimo na mifugo naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi
Back
Top Bottom