Nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

peter20

Member
Jan 11, 2015
24
4
Habari wana JF,
Naomba kwa yeyote mwenye taarifa za ajira ya utumishi wa mahakama za tarehe 2/2/2015 anisaidie nimeskia washaita watu kwa ajili ya interview ila sijaona link ya kuangalizia majina.

Asanteni
 
Bado tutawaita tu hofu ondoa

Tatizo hizi nafasi huwa wanatangaza wakati wameishapata watu wao, kati ya mnaoomba, unakuta wanataka mtu mmoja au wawili kujaza nafasi zilizobaki au kutimiza agizo kwamba wametangaza. Any way tunajaribu, huenda nafasi moja hiyo ni yako!
 
Back
Top Bottom