Sisi Vijana tunaopambana na kuamini kuwa bado tunaweza kupata mitaji shambani, Mungu wa mbinguni aendelee kutushika mkono. Binafsi nimepambana kutoka 2016 baada tu ya kuhitimu masomo yangu mwaka 2015 nikiwa nalima zao la Mahindi. Kwa bahati mbaya sana mwaka jana ndiyo ungekuwa mwaka wa mimi...
Ndugu wana jamii Forums waslaam!
nimekuwa na tatizo la macho ambapo hadi sasa ninalazimika kutumia miwani ili kuona mbali kwani baada ya kupima nilibaini jicho moja la kushoto kuwa na uoni hafifu, hivyo nilishauriwa kutumia miwani ili kulinda hili moja la kulia.
Lakini ninashangazwa na macho...
Kaka wewe ni zaidi ya engineer! Hii ni makala ya mwaka jana lakini naiona inaweza kudumu miaka 50 mbele. Thumb up brother.
The details are helpful and supportive.
Wakuu kwa hiyo badala ya Sumsung A20 ipi inaweza kuwa mbadala wake kwa bajeti zetu hizi make inacheza 200,000 hadi 300,000? Ni simu ipi inaweza kufaa kqa kuanzia specifications na durability??
Wewe ndo unakosea.. Waziri amefanya "Surprise Visiti" ina maana atakuwa na taatifa za awali, hapo n kwenda kuhakikisha tu. Yote aliyoyasema ni kweli tupu. Mfano mashine zilikuwa nzima sasa zimekufa na hakuna hatua yoyote
Huu ugonjwa ni balaa sana, unaishi nao ni kama haupo lakini athari zake hutokea ukiwa na mawazo, ukila vyakula hivyo vilivyotajwa kwa wingi na maumivu ya kiuno.
Watalaamu au mliopona mlitumia dawa gani kuondoa hilo tatizo?
Naomba kuuliza inakuwaje hadi watu wanakamatwa kutokana na meseji za whatsapp? Je, mkiwa na kundi lenu la watu watano ambao mna same interest na miashare habari za zinanzosemekana kuwa ni tofauti mnaweza kukamtwa pia? Kivipi mtakamatwa au hizi whatsapp zipo monitored?
Nimeanza kuwashwa kooni juzi na baadaye nikapatwa na homa kali kiasi hata kutembea nashidwa, miguu haina nguvu baada ya kwenda dispensary niliambiwa ni Malaria nikapewa Mseto.
Baada ya kumaliza ndiyo nikazidiwa zaidi na kutokwa na vidonda kooni kama vinavyoonekana, nimenunua Azithromycin na Pen...
Pole mkuu, kumbuka si wewe, mimi nafanya kazi na kampuni moja, kibaya zaidi nalipwa pesa ndogo sana (300k) kwa mwezi na bado kuna makato, nimewaomba waongeze naona wapo kimya hivi natafuta mbinu za kukimbia ndani ya mwezi ujao tu. Hakika nitaondoka maana nafanya kazi kwa shida yaani mtu...
Jaribu kutafuta hii dawa ni nzuri sana, inapatikana kariakoo wanauza 4000 tu, unachemsha maji yawe moto kiasi theni unaweka kijiko kimoja cha chakula na unakoroga na kunywa muda huohuo. Asubuhi na jioni kabla ya kula au nusu saa baada ya kula. Kila kheri mimi nimetumia na imenisaidia
Boss mazoezi mimi nina mwili wa kawaida sana na uzito wangu ni 58 so wakati mwingine nawaza au kwa kuwa mara kadhaa natumia pikipiki kama usafiri wangu na kufanyia kazi zangu za hapa na pale?? Na hizi Chia seeds naweza pata wapi kwa gharama ipi?
Mimi ni mwanaume 29 (nimeoa), kwa sasa nipo Dar, miezi mitatu Iliyopita nilianza kujisikia vibaya hasa kupata maumivu ya kiuno na viungo vyote vya mwili, niliamua kwenda hospital moja hapa Dar baada ya kuchek nikaambiwa nina vidonda vya tumbo(H-Pylori) na nikaandikiwa dawa aina ya Omeprazole na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.