Search results

  1. shabhibhii nafwa

    hili ndio kundi bora la mziki

    Wadau wa mziki hapa nchini kuna wanamziki wengi vilevile na wasanii kibao ambao ndo wengi zaidi. Kiboko yaoni kundi linaitwa WAMWIDUKA BAND wanamziki wa tanzania wasiojua mziki wakasome kwa hawa watoto. Ali kiba, Diamond na wengine mkajifunze mziki kwa hawa watoto sitanii huu ni ukweli...
  2. shabhibhii nafwa

    Tujuzeni kinachoendelea uzinduzi kampeni za CHADEMA

    Wadau kichwa kinajieleza
  3. shabhibhii nafwa

    TAMISEMI hebu sikieni kilio chetu

    Hivi no lini tamisemi mtakuwa waungwana hebu toeni majina ya uhamisho. Mkuu si alisema kila kitu kirudi kwenye utaratibu wake. mbona mwanitesa hivyo. CCM serikali sikivu nami nisikieni Haki inadaiwa kuhama ni in haki yangu
  4. shabhibhii nafwa

    wale wa nyumbani tu

    mbeya city fc leo kaua wakata miwa wa kagera. Mcc daima
  5. shabhibhii nafwa

    Stendi United wanataka kuhujumu mchezo wao na Kagera Sugar

    Kesho jumamosi kuna mechi mbalimbali za vpl Tanzania bara. Lakini kilichonisukuma kuandika haya ni taarifa niliyopenyezewa na mtu wangu wa karibu kutoka Shinyanga kutokana na maneno yaliyozagaa. Issue yenyewe ni mpambano wa Stend untd vs Kagera fc. Katika mpambano huo viongozi wa tff mkoa wa...
  6. shabhibhii nafwa

    Ona haya maajabu ya ccm

    Kuelekea uchaguzi mkuukumekuwa na vimbwanga vingi sana kama vile eskrona kujiuzuru kwa mawaziri na sasa kupigwa kwa pr lipumba. Licha ya hiyo ajabu ni hawa wanaharakati wa ccm kuwachagulia ukawa mgombea mara utasikia dr slaa hafai, afande mvuta bangi, zzk ni chadema ilhali wanachama hawamtaki...
  7. shabhibhii nafwa

    Ccm yashuka kwa kasi kwenye chaguzi

    Katika chaguzi zinazofanyika kuanzia ile ya 2005 inaonyesha ccm kuporomoka kwa kasi sana. Mfano 2010 uchaguzi mkuu waliporomoka kwa zaidi ya %28, vijiji na mitaa 2014 %25. hali itakuwa mbaya sana mwaka huu huenda wakaporomoka kwa asilimia 25. Hita msaka urais kijana wa ccm hana matumain kwani...
  8. shabhibhii nafwa

    Matokeo kidato cha pili yanachanganya

    Wadau matokeo kidato cha pili yametoka lakini huu mpango wa gpa umekuwa unachanganya. kuna gpa ya 0.2 ambayo inaonyesha mwanafunzi kufaulu lakini kiuhalisia ni kwamba wamefeli. Haiwezekani kati ya masomo 11 mwanafunzi akawa na f sita harafu gpa yake akawa amefaulu. huu c uchulo jamani...
  9. shabhibhii nafwa

    Mbeya City yaanza moto wake

    taratibu ile huzuni inaisha mcc wameleta faraja. hahaaaa hushile akhaya umwoto guwaha. mbeya city humwanya
  10. shabhibhii nafwa

    Kwanini mikutano ya Mwigulu nchemba ni Tanga, Dodoma, Manyara na Singida?

    huwa najiuliza maswali nisipate majibu kuhusu mikutano ya huyu jamaa huwezi kumsikia mbeya, arusha na hata kilimanjaro. nimejiuliza sana anisaidie au hata nyie wanajukwaa nisaidien
Back
Top Bottom