Search results

  1. fundichupi

    Utafiti: Sababu ya wanawake kupiga kelele wakati wa kujamiiana

    Wee jamaa nadhani utakuwa Le Mu2z, yaani mpaka usikie miguno/kelele za mahaba kwa mwenzi wako ndio unajihisi na wewe umemtoa mtu jasho na ilhali akikohoa kinachomoka... [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. fundichupi

    Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

    Hutaki huduma za ziada ukiachilia mbali vyupi..!? Maana hio ya vyupi ni extra ila huduma zitolewazwo mahususi ni saloon service na masaji ya Papuch*
  3. fundichupi

    Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

    Mbona natajwa tajwa sana pande hii, vipi kuna tenda yeyote tuongelee PM..!? [emoji6]
  4. fundichupi

    Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Mwanamke wa ndoa au mpenzi sio mama ako useme huezi kumkana ama kumwacha.. Mtu akishindwa kujiheshimu na kukuheshimu akafikia hatua ya yeye ndio anapanga namna ya kuruka debe nje huyo pigia mstari mwekundu jina lake mwambie aende huko anapoona ndio pananoga. Huezi kuwa unajinyima kwa ajili ya...
  5. fundichupi

    NJOONI:tujipe hongera wale wote ambao mahusiano yetu yamefika mwezi December maana haikuwa rahisi.

    Je na sie ambao tulipata wapenzi wapya mwishoni mwa mwezi November hii inatuhusu..!? [emoji16]
  6. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mambo ya mshana jr na archive zake zilizotukuka.. Ila tambua mwanamke akikuzid umri jitahidi kula protein kwa wingi sana ili uweze kubalance unachotoa (sperm) na unachoingiza (afya).
  7. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Itabidi nitifue tu uchaka maana hamna namna bwashee, hafu kuna mdau anaitwa Sonia G anadai alitegemea kukuta ushuhuda badala ya mitazamo. Ombi lako nimelisikia ntalifanyia kazi ASAP
  8. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    Fanya hima zaidi ya haraka maana nimezidiwa na ukame.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    Huu sio utafiti.. soma mada ielewe kisha changia. Acha kukurupuka kama nyumbu
  10. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Napenda kuishi bado, simba mzee huezi jua kakoswa na mishale mingapi hvo bora kuwa na zana kamili nisije jeruhiwa nikafa mapema.
  11. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    Chief , unajua siku zote ya darasani asilimia kubwa hayatumiki ktk maisha ya uhalisia. Acha kukokotoa hesabu za umri mwaga maoni na ujuzi wako. Ukianza kutaka kujua umri utatoka nje ya mada
  12. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    Akiwa ktk menopause nini kinaeza tokea ama kuwa na madhara..!? Weka dondoo zitasaidia wengi waliopo humu wapiga mechi na maveterani
  13. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    Mie wa kium ndio maana. Ww una vichwa vingapi..!? Kama unakimoja tuu basi hebu njoo inbobo tuone namna ya kuunganisha vichwa. Popote penye vichwa vitatu huwaga kuna mambo mazuri yanatokeaga. #utatu_mtakatifu
  14. fundichupi

    Je, ni sawa kufanya mapenzi na mwanamke anaekuzidi miaka 18+?

    Habari zenu wanajukwaa pendwa la MMU. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, napenda kusikia maoni yenu kutoka mitazamo tofauti tofauti ya kidini/imani na kidunia. Swali hili limekuja baada ya kuwa nchi ya kigeni ambayo wana tabia za kibaguzi hivo kuingiliana nao ni ngumu, sasa...
  15. fundichupi

    Huyu mtoto amenifanya nitamani kuwa na familia

    Hilo napinga kwa asilimia zote mdau, mtoto ambae anaonyeshwa mapenzi na wazazi wake huwa huru zaidi kufanya lililo akilini mwake hivo rahisi mzazi kumrekebisha mtoto kwa upendo kama anakosea( hapa naongelea mzazi asie limbukeni ). Ila unapokuwa mbali na mtoto huku unajidai mgumu ama mkali...
  16. fundichupi

    Haya ndio yatakoyotokea mpenzi wako (KE) akienda chuo

    Wanajukwaa naomba muelewe kitu kimoja kikubwa kuhusu CHUO. Chuo ni mahala ambapo wahudhuriaji ni watu wazima ambao wanajielewa na wapo pale kutafta ujuzi na elimu itayowawezesha kupata ajira,kujiajiri na kuondoka kwenye utegemezi ili waanze kujitegemea. Hivyo unaposikia mtu yupo chuo fikiria kwa...
  17. fundichupi

    Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

    Sasa ww unataka umtongoze mtu kwa mda gani..!? Kwa kawaida mara moja inatosha, kama umempenda kweli dhati basi mara tatu ndio kipimo. Mtu kama amekuelewa na anataka mpeane nafasi hana haja ya kujifikiria mda mrefu, ukiona anakuzungusha jua upo katika mizani ya je aje kwako au aendelee...
  18. fundichupi

    Utamtambuaje mwanamke ambaye hajafanya tando la ndoa siku nying?

    Nipo kiongozi mwandamizi... Ngoja nianze kuwa super active sasa, majukumu yalibana
  19. fundichupi

    Msaada juu ya Ununuzi wa Jokofu

    Westpoint ni friji bora maana ina antfrost, ipo economic zaidi kwa maana ya ulaji umeme na ina space ya kutosha ndani.
  20. fundichupi

    Saints, Sinners And Stag (18 )…

    INAENDELEA episode 2: Pastor Derin Hughes looked at his reflection in the mirror and knew that he looked good. If there was anything he had learnt in his years at Unilag, it was how to package oneself. He was sure that his appearance would convey the aura of a very successful Man of God to the...
Back
Top Bottom