Search results

  1. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Habari wakuu, Kwa ufupi, nimekuwa nikifanya punyeto kuanzia 2003 mpaka February 2019. Iliniathiri sana kisaikojia na imenivurugia malengo yangu kwa kiwango kikubwa, wengi wanaofanya wanajua fedheha na madhara yake. Nilijaribu kuacha miaka yote hii lakini nilikuwa nafanikiwa kwa muda mfupi tu...
  2. P

    Msaada wa materials ya foundation stage CPA

    Wakuu habari za muda, kwa ambao wamesoma CPA (uhasibu). Naomba materials na past papers za foundation stage...nahitaji kununua...no 0658327429 DSM Natanguliza shukrani.
  3. P

    Nahitaji ps2

    Mwenye ps2 aniuzie nipo dsm..0658327429
  4. P

    Harusi ya Kikiristo isiyozidi Milioni 1

    Wakuu, Naheshimu mkataba wa milele wa ndoa ya kikiristo, na sio mshabiki wa ufahari wa siku moja. Naomba ya jinsi gani nifanye sherehe ya harusi isizidi milioni moja, labda kuna watu wengine walishafanya hivyo. Nahitaji msaada wenu, najua mchanganuo wenu utakuwa msaada kwa wengi pia. Mungu...
  5. P

    Mpenzi wangu hapokei simu wala kujibu sms zangu, Nifanye nini?

    Nina mpenzi ambaye naona kuna tatizo japo yeye hayuko wazi kunieleza ukweli. Tatizo kubwa ni mawasiliano,ni kwamba mm siku zote namtafuta yeye,mara moja moja anapokea simu,mara nyingi hapokei,nikituma msg hajibu,inaweza pita miezi bila yeye kunipigia au kutuma sms hata kubip tu. nikimuuliza...
  6. P

    Nauza PSP 100k

    Ina gemu 4 ndani ya memory card, inafanya kazi vizuri,nipo DSM. Namba 0658327429.
  7. P

    Nahitaji kitanda na godoro

    5 kwa 6,viwe katika hali nzuri,nipo dsm
  8. P

    Niuzie kitanda na godoro

    Habari wakuu,Nahitaji kitanda na godoro,6kwa 5,nina nipo dsm
Back
Top Bottom