Search results

  1. Huck

    Tanroads Lindi wameshaita au bado?

    Wadau ningependa kujua kwa anaefahamu kama zile kazi za wahasibu tanroads lindi zilizotangazwa mwezi wa 5 kama tayari wameshaita kwa ajili ya usaili au bado
  2. Huck

    Msaada: Ratiba ya uandikishaji BVR

    Wadau naomba msaada wa kupata ratiba ya nec ya kuandikisha bvr
  3. Huck

    Je andazi moja linaweza kubeba calories kiasi gani?

    Wadau nafanya diet kupunguza uzito, ningependa kujua andazi moja lina calories kiasi gani
  4. Huck

    Ejaculation

    Je ni kweli kwamba ejaculation kwa mwanaume inasaidia kupunguza uzito? kama ni kweli ni kwa kiasi gan per single ejaculation? je a single ejaculation ni sawa na kukimbia kwa umbali gani? msaada tafadhali
  5. Huck

    Poll: ni issues gani utabase wakati wa kupigia kura mgombea urais oct mwaka huu

    Wadau issues/bases zangu ni kama zifuatazo: 1. Ulindaji wa rasilimali za nchi kama madini,gesi, ardhi etc 2. Vipaumbele vya matumizi ya kodi za wananchi na fedha za wahisani 3. ukusanyaji wa kodi na marekebisho ya sheria za kodi 4. Rushwa na ufisadi 5. Uboreshaji wa elimu 6. Ufufuaji wa viwanda...
  6. Huck

    Nafasi ya kazi IPTL

    Kampuni ya IPTL imetangaza kazi ya assistant accountant. Title ASSISTANT ACCOUNTANT Location Dar es Salaam Job Information Job Purpose:Supports financial decision-making information by collecting, analyzing, investigating...
  7. Huck

    Hand delivery Sekretarieti ya Ajira

    Sekretariati ya ajira (PSRS) wanaposema hand delivery hairuhusiwi, je ina maana hata kutuma kwa EMS barua inakwenda moja kwa moja kwenye ofisi za mhusika nayo EMS hairuhusiwi? Msaada tafadhali
  8. Huck

    Msaada: mikoa inayoongoza kwa makusanyo ya VAT

    Naomba kujuzwa tafadhali
  9. Huck

    Huawei y300

    WADAU CAMERA YA MBELE YA SIMU YANGU YA huawei y300 imestop kufanaya kazi. nikifungua app ya camera sioni option ya front camera. na pia sioni sehemu ya kuondoa sauti ya camera, nifanyeje?
  10. Huck

    call for interview shirika la posta

    wadau je shirika la posta wameshaita watu au bado?
  11. Huck

    Jinsi ya ku-share internet ya laptop kwenye simu ya android

    Naombeni maujanja wadau
  12. Huck

    EMS au Posta kawaida

    Wadau ni njia ipi ya uhakika ya kutuma barua za kuomba kazi kati ya EMS na posta kawaida, Naombeni ushauri!
  13. Huck

    Nimeikuta hii kwenye lodge moja hivi maeneo ya Sinza

    Nimeikuta hii kwenye lofge moja hapa sinza, inasemekana inamilikiwa na mtu wa ttb, chai bora wataipenda hii:majani7::majani7::mod::mod:
  14. Huck

    Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona sijui kwanini?

    Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga. Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakat...
  15. Huck

    JK anaunda kamati ya nini suala la mauaji ya albino?

    Inashangaza sana Mauaji ya albino linafanywa suala la kisiasa. Jk anaunda kamati ya kufatilia mauaji ya albino. hili ni suala la kiuhalifu ambalo polisi na vyombo vya uchunguzi na usalama vingefanya kazi yao wangedhibiti hivi vitendo sasa leo HII JK ANAUNDA TUME ILI IKAFANYA KAZI YA POLISI AU...
  16. Huck

    Natafuta mke

    Awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 23
  17. Huck

    Nini tofauti kati ya IFRS, IAS, IPSAS na IFRIC?

    Naomba msaada wa kuambiwa maana ya maneno haya. IFRS, IAS, IPSAS na IFRIC kama yanavyotumika kwenye fani ya uhasibu
  18. Huck

    Mashangingi yanaenda kufanya nini kwenye uwanja wa vita huko Amboni?

    Nilikuwa naangalia habari ya ITV, wanaonesha mashangingi pamoja na defender za polisi zikielekea kwenye uwanja wa vita. Sasa najiuliza haya mashangingi tunayojua yanabeba vigogo wa polisi yanaenda kwenye uwanja wa vita kufanya nini? Jamani hata kwenye maandamano mashangingi huwa hayaji, sasa...
  19. Huck

    Ajira TRA

    Wadau naombeni kujua je wale walioitwa interview tra mwezi december 2014 na kuwa shortlisted kwa oral interviw pale tumaini universitywameshaitwa kazini au bado?
  20. Huck

    Minerva Oil & Gas Company ni genuine au matapeli

    Jana nimetumiwa e-mail na watuwajiita minerva oil and gas wamenitumia attachments za virtual interview, lakini niki-google hakuna direct website yao
Back
Top Bottom