Search results

  1. Huramabi2

    Aolewe au aendelee kuwa single at 40?

    Wakati mwingine wanaoukimbia wajibu, wana uwalakini. Akapimwe vipimo vya Daktari vyaweza kuumaliza mjadala kuwa huyo kuwa hivyo ndiyo nafuu yake.
  2. Huramabi2

    Aolewe au aendelee kuwa single at 40?

    Anayeoa haoi dini. Kama dini ikiwa kikwazo iache karibu kuwa RAIA WA SERIKALI TUKUFU YA UFALME WA MUNGU. Hapo hapana ugomvi, wote watakaokuwa wamekwazwa na maamuzi yako, watakuwa hadhira yako kwa kushuhudia mabadiliko, hadi mwishoni watakukubali na kukusifu.
  3. Huramabi2

    wakaka kujeni huku mnifadhili shemeji yenu...

    Tafuta Kanisa lenye Nguvu ya Mungu, ukatoe sadaka ya kumshukuru Mungu. Kila jambo litakuwa kama upendavyo na kwa kadri utakavyotaka. "UKITAKA UNAWEZA"
  4. Huramabi2

    Niachane vipi na huu mchepuko?

    Ungetuuliza wakati ulipoanzana naye majibu yetu yangekuwa msaada kwako. Sasa ushauri wa kweli kwa hali oligopoly ni huu KAA NAO WOTE, KAMA MAJUTO NI MJUKUU. YAMEKUSTAHILI, KWANI UNAVUNA ULICHOPANDA. Usithubutu kumkimbia huyo mke mdogo, kwani uzoefu huo wa kumkimbia utakufanya siku si nyingi...
  5. Huramabi2

    Nini kiwango cha pato la taifa linaloingizwa na sekta ya utalii?

    Kwa wanaofahamu watusaidie hili. Tunaomba rais ashughulikie majipu yaliyojaa usaha. Wanyama wanauzwa wazima ujangili haukomeshwi. Wahusika wanabomoa mahekalu uswahilini. Watanzania tumewabinafisishia watu wachache maliasili zetu?
  6. Huramabi2

    Bidhaa unazoweza kuuza Ulaya zisizohitaji mtaji mkubwa sana

    Maana mtaji mdogo wa biashara ya nje ndiyo mtaji mkubwa wa biashara ya ndani.
  7. Huramabi2

    Bidhaa unazoweza kuuza Ulaya zisizohitaji mtaji mkubwa sana

    Kuliko uwaze kufanya biashara za mtaji mdogo nje ya nchi ni bora kufanya ya mtaji mkubwa ndani ya nchi.
  8. Huramabi2

    Bidhaa unazoweza kuuza Ulaya zisizohitaji mtaji mkubwa sana

    Pata maelezo toka bodi ya Biashara za nje ili ujue walaji wanahitaji nini huko. Kuhusu mtaji waza vema mtaji mkubwa ni faida kubwa. Kopa ukishakuwa na hakika ya aina ya biashara usiwaze mambo ya mtaji mdogo.
  9. Huramabi2

    Msukule ni nini?

    Ni mwanadamu aliyedumazwa akili,na mwanadamu mwenzake kwa Imani ya kuwa daraja lake la mafanikio.
  10. Huramabi2

    Msukule ni nini?

    Mtafute Mch. Gwajima atakuwa na maelezo ya ndani zaidi.
  11. Huramabi2

    University dropout

    Serikali zetu zibadilishe mfumo wa kuangalia vyeti badala yake waangalie uzoefu kwa maana ya uwezo wa mtu binafsi wa kufanya mambo,sawa na nafasi a nayoiomba kuitendea kazi.
  12. Huramabi2

    Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Mimi napenda kuitwa "MKUU "
  13. Huramabi2

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Tumewaona Ukawa zaidi CCM wako wapi?
  14. Huramabi2

    Uhusiano kati ya Mzee Kingunge na mmoja wa watia nia aliye fisadi

    Usihukumu hivyo,hata wewe watu wanaweza kukuita Alqueda ama chochote kile kinachohusiana na ugaidi wakati kwa kuyaangalia madevu yako hayo ya picha,haijalishi huko uliko hata uwe na kipara.Ukitaka kuutafuta ubaya wa mtu yeyote anayeishi hapa Duniani hakika hautaukosa.Lowassa,kama wanadamu...
  15. Huramabi2

    Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

    Unauliza swali ambalo una majibu yake.Au wewe husomi na kuangalia alama za nyakati?Maelfu ya wanaomiminika kumlaki na kumdhamini,ndiyo wanaoitoa kauli hiyo kwamba hatutakubali jina lake kukatwa na si Kingunge.Yeye Kingunge anaiwakilisha sauti ya wengi,kwa hekima ya kisiasa,kama ujumbe wa...
  16. Huramabi2

    Ukitaka kujua Lowassa chaguo la Mungu kaulize basi za Arusha leo na kesho

    Unayemkufuru Mungu,ni wewe unayemuita mpuuzi.Hivi nafikiri Mungu anangalia Fitna za Wanadamu na kuziamini kuwa ni Kweli?Mungu hana uroho wa kupenda fedha,yeye huangalia MOYO MNYOOFU.Nikusaidie kumjua Mungu Nabii Musa aliwahi kuua,kabla ya Mungu kumpa jukumu hilo,la kuwaongoza Wana wa Israeli...
Back
Top Bottom