Search results

  1. M

    Kuna elimu gani juu ya Kupandisha mashetani?

    Heshima kweni wakuu. Nilikuwa nasikia halafu nikajionea mwenyewe. Mtu anapiga kelele, kutetemeka na kusema maneno ya ajabuajabu eti kapandisha shetani. Inakuwaje sipati jibu. Nawaombeni mnielimishe kuhusu hili karibuni wakuu.
  2. M

    'Wali' kwa lugha ya Kiingereza

    Naomba msaada kwa kingereza wali unaitwaje?.
  3. M

    Msaada:Jinsi ya kupika mkate wa Mofa

    Jamani anaejua kutengeneza mkate wa mofa msaada tafadhali.
  4. M

    Kwanini zana zetu zimekuwa siri?

    Tunaona na kuvitumia vitu vya wazungu kama magari, TV, Simu, silaha na vinginevyo vingi tu. Waswahili nasikia nao wana, ungo wa kusafiria pia wana silaha kama, usinga, tego, mkweche, puju, zongo mwangeni, na kadhalika. Kwanini waswahili hawaweki wazi silaha hizo na kuzingiza sokoni?. Mm...
  5. M

    Bokoboko

    Niliwahi kula mlo huo ni chakula kitamu sana. Naomba ajuae kupika bokoboko anifundishe kupitia hapa jf chef.
  6. M

    Hodi, hodi, hodi!

    Natoa heshima kwenu wana jamii wote kwa ujumla. Nipo nje ya mlango nawaomba nifungulieni mnikaribishe.
  7. M

    Naomba msaada wa Ku-Install whatsapp kwenye Nokia N73

    Natanguliza shukurani kwenu wana jukwaa. Nawaombeni msaada simu ninayotumia ni nokia n73 inagoma ku INSTALL WHATSAPP. Msaada pls.
Back
Top Bottom