Kumbe wewe huijui nchi hii. Ukijifanya kifaru hutaki kutoa rushwa basi afisa akukadiria kodi mara 10 ya kodi halali na ukilipa hutaweza kushindana na wenzio waliolipa mil 60 wakaandikiwa mil 5, pia hutaweza kushindana na akina ridhiwani ambao wao na mitandao yao hawaguswi kabisa
Ndugu zangu,
Jambo hapa sio bei za mashine za EFDs ingawa kweli bei tajwa ni ghali sana ila tatizo wanalolihofia wafanyabiashara ni kuwa wakizikubali mashine TRA watapata mwanya mkubwa wa kuwagandamiza kwa visingizio vingivingi mfano kodi yako halali unayopaswa kulipa ni shs kadhaa kutokana na...
Mie sijawahi hata kidogo kumheshimu Mzee Mengi katika masuala ya kisiasa. Ni wazi ni mfanyabiashara mkubwa sana hapa Tanzania lakini ukimsikia tu akiongea unamdharau hapohapo pamoja na kwamba ni mtu ambae anapenda kuongea sana. Ni bahati kwamba ana vyombo vingi vya habari ambavyo anavitumia...
Hiki walichokifanya CDMA ndio kimewashinda CCM na ndicho kimelifikisha taifa hili hapa tulipo no maadili no dira ni ulafi tu kwa Kwenda mbele, bandari, tanesco, bot, traffic, mahakamani, customs, immigration, polisi, serikari za mitaa na kuu, kila mahali na hakuna dalili ya kubadilika. CDMA ndio...
Kikubwa ni kuwafanyia kweli CCM na Kama hatutafanya hivyo tukaishia kulalama humu jamvini haisaidii. Weka kitambulisho cha mpiga kura tayari kwa kufanya kweli. Magwanda wakienda Ikulu watafanya kweli. People's...
Watanzania hasa wafanyakazi, huu ndio Wakati wa kung'oa serikali ya magamba na kuweka serikali ya Watu inayosikiliza. Kuna mantiki gani ya Kuzuia withdrawal benefits Wakati serikali hailipi unemployment benefits?
Kwa nini uzuie withdrawal benefits? Fedha za wafanyakazi zinaenda kuwekezwa...
Mchambuzi,
Hoja ya kufuta posho za wabunge, watumishi wa serikali na watumishi wengine kama wale wa vyama vya wafanyakazi ni sawa na wala haina madhara kama unavyojaribu kuonesha. Ni kweli mishahara ya watumishi wa serikali ni midogo lakini hii ni strategy ambayo imebuniwa na CCM ili malipo...
Kulipa kodi ni wajibu wa kila mwananchi sio kwa wale ambao mishahara yao inatosha. Huu ndio ukweli duniani kote. Kinyume na kulipa kodi ni ufisadi. Kwa nini serikali ya ccm inakuwa na mawazo ya kifisadi tu?
Wana JF
Hivi majuzi waziri wa fedha akisoma budget alitaarifu kuwa posho zitakazolipwa wafanyakazi wa serikali hazitakatwa kodi. Pamoja na ukweli kwamba hazijawahi kukatwa kodi je kuna sababu gani ya kumkinga mfanyakazi wa serikali na baadhi ya kodi? Je hao walioko serikalini ndio wazalendo...
Ndugu yangu, wewe leo ndio umeona kuwa Ridhiwani anasindikizwa na motorcade ya gari zisizopungua tatu, mimi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu nimekutana nae mara kadhaa akiwa na msafara wa magari ya ikulu matano (nissan patrol nyeusi). Tena wakati fulani walinitimua barabarani nikaegesha...
Agenda ya udini imesukumwa mbele na CCM baada ya kuzidiwa na vuguvugu la wanaharakati wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu kama kete yao ya mwisho ili kuwatisha wapiga kura. Sasa uchaguzi umeisha bado wanasukuma agenda ya udini ionekane ndio kipaumbele ili kuzima agenda za wanaharakati wanaodai...
Zito of late amekuwa a controversial figure, na amekuwa mtu anayetaka kuonyesha misimamo yake tofauti na msimamo wa chama. Hili ni jambo la ajabu ukizingatia kuwa yeye ni kiongozi katika chama. Misimamo ya chama inakuwa reflected kupitia maamuzi ya chama na maamuzi ya viongozi wake. Sasa Zito...
Masha akipewa uwaziri nitashangaa sana, Magufuli akiachwa uwaziri nitashangaa sana. Mwakyembe asipopewa uwaziri pia nitashangaa sana. Haya yatajumuisha kuonyesha nini vipaumbele vya serikali ya ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.