Search results

  1. joika

    NAUZA Tecno L3, Android Jelly Bean & faster downloads on 3G

    Pole sana ndugu yangu. Usijari utawakamata wengine tu.
  2. joika

    Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

    Kachome ceftriaxone(injection) inachomwa kwenye mishipa ya damu. Utapona haraka sana kaka
  3. joika

    Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

    Kachome ceftriaxone(injection) inachomwa kwenye mishipa ya damu
  4. joika

    Lowasa aukana urais

    Mbona wakumpa tuko wengi. Hakuna jembe kama Lowasa Tanzania hii.
  5. joika

    BOL Telecommunication Unlimited

    Pole. Hakuna mbadala wa voda
  6. joika

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Habri za hiv punde Salary hakuna, serikali inadaiwa na NMB kumbe NMB ndo walikuw wanatulipa mshahara katka mkataba wa miez 8. Sasa umeisha wamegoma kutoa tena. Sasa serikali inaongea na CRDB kuona kama itawakopesha watunusuru. Tuendlee kumuomba mungu lifanikiwe.
  7. joika

    Majibu ya zitto

    CHADEMA wajibu kuhusu watu walio sambaza walaka kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na walaka feck
  8. joika

    Majibu ya zitto

    Nimemkubali sana zitto kwa majibu yake juu ya maamuzi ya kamato kuu. Ya msingi yana majibu tunasubuli majjbu ya chadema kwa maswala ya msingi yaliyo ulizwa na zitto.
  9. joika

    Weka taarifa yako toka Mkoani, wilayani,tarafa,Kata, Vijiji na Vitonoji hali ikoje huko?

    Mimi niko kasulu mjini. Wananchi ni masikitiko kwenda mbele na baada ya kupata taarifa kuwa na Balegu kaondoka ndiyo sasa simanzi
  10. joika

    Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Kaka wewe ni mkali
  11. joika

    Msaada: Simu yangu samsung s3 haifungui jamiiforums

    Kishombo nipigie asubuhi nikupe msaada tafadhali
  12. joika

    Waziri anapozindua choo cha matundu nane!

    Kama uwezi kufurahia kidogo hata kikubwa uwezi hata kidogo
  13. joika

    Mwigulu Nchemba kutikisa London Uingereza, Marekani aacha historia

    Kwao anaweza asiwe dili lakini akakubarika kwingine
  14. joika

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Acheni visingizio vio na maana wanakuja kupiga kura au kusubili mabomu
  15. joika

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Umechelewa meza sasa hivi.
Back
Top Bottom