Search results

  1. C

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naombeni link ya kustream
  2. C

    Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

    Kabisa mkuu,jamaa wameamka na wanachangamkia fursa
  3. C

    Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    Nilipata aibu ,sijui alivyorudi amewaambia nn wananchi
  4. C

    New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

    Baadhi ya basi za kichina manufacturers anaweka option ya basi kuja na retarder. Na retarder za kwenye basi za kichina zinazokuja ni Eddy Current Retarder hii efficiency yake huwa inapungua maji yakigusa na inatumia umeme. Kwenye Golden Dragon za UDART mchina kafunga gearbox ya Voith na...
  5. C

    New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

    Zilikuwa zikipata ajali,ila angalia miundo mbinu wakati huo na sasa,angalia teknolojia ya magari wakati huo na sasa….ukija kwa sasa fanya tafiti njia hyo hyo ya dar-mbeya mabasi mangapi aina ya European na mchina yaliyopata ajali,halafu fuatilia mfumo wa kimakenika wa basi za European na basi za...
  6. C

    New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

    Upo sahihi kabisa,mchina bado yupo kwenye utafiti na basi zake ili ziweze kuwa compatible na hali yetu huku Africa
  7. C

    Kamata kamata tinted taa za Magari

    Sidhani km hyo ni hoja ya msingi labda Kuna nyingine, maana hata hizi Namba za kawaida unaweza fungua na kufunga nyingine
  8. C

    Kamata kamata tinted taa za Magari

    Lile cover LA nje kwenye taa ya Gari likiloa na maji huku balbu ikiwaka linapata ukungu.. Hali hii ikiendelea kwa Muda mrefu taa zinapoteza mng'ao na kutoa mwanga hafifu, Ili kuzuia Hali hii isitokee ndio maana wanaweka sticker, Inakuwa kama protector kwenye simu
  9. C

    Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Hahaha ,yupo njombe huyo jamaa,kaandiika gari zake “shikamoo parachichi”
  10. C

    Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

    Yeah, ila naona ni win win situation sababu mchezaji hajaenda bure, na katika sababu moja wapo Yanga walichokuwa wanakitaka ni team inayomtaka itoke hadharani na sio kuzunguka gizani kumrubuni...
  11. C

    Azam FC yamtambulisha FEI TOTO, asaini mkataba wa miaka mitatu, afafanua fedha alizochangiwa na wadau

    Azam ndio walikuwa wanamrubuni huyu mtoto…ila mchezo walikuwa wanaucheza gizani
  12. C

    Babuu wa kitaa na media (Tv)

    Wewe unamjua babuu ,walio wengi wamemjulia clouds
  13. C

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Upande wa pili huko hawaamini macho yao
Back
Top Bottom