Search results

  1. K

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Katika comment ya kipuuzi niliyoisoma Moja ni hii, kaisome Katina ya Zanzibar na Ya JMT inasema kuhusu idara maalum za SMZ. Then njo na rhetoric zako za kipuuzi. Au ndiyo hasira za mama kukuacha solemba baada ya kujaribu na kujifanya chawa. Kama yule msukuma mwenzaki hakukuona. Ujue wengine...
  2. K

    Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

    Kwani safari za ndege hizo ni A kawaida na watalii wanakaa hotel Zanzibar Asubuhi wanachukua ndege na kwenda kwenye Mbuga za wanyama.moja kwa moja na ipo kwa mbuga zote lakini kwa ujinga wako ndiyo unqtaka kuanzisha taharuki kuwapata wajinga wenzio.. Ukienda uwanja wa ndege wa Nungwi hizo ndiyo...
  3. K

    Anachofanya Rais Samia huko Zanzibar ndicho alichokifanya Hayati Magufuli kule Chato

    Mengine hili. Tanesco ilikuwa ikiuzia umeme huku ikiitoza VAT tunajua yankuwa VAT analupa mtumiaji wawisho. Lakini tenesco haijasamehe Deni bali lile semi la VAT ambalo ZEKO imegoma kulipa. Elimu ji muhimu sana
  4. K

    Anachofanya Rais Samia huko Zanzibar ndicho alichokifanya Hayati Magufuli kule Chato

    Wacha kupotosha watu. Juzi raisi Mwinyi amechukua commercial loan ya NMB na CRDB ya 450bil Tsh kwa ajilinya ku finance miradi hiyo. Na zinajengwa 200km tu. Sasa mama Samoa amehusikaje hapo?
  5. K

    Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

    Kwani imechukuliwa? Usotisemee.. Sema wasukuma, wachaga na wafuasi wa TEC. Kama udini mmeanza nyinyi. DP atakuja tu kuwekeza kwenye bandari wewe kwenu kagera na shinyanga Dar inakuhusu nini au mnataka tugawane mbao!!
  6. K

    Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    WACHATUSEME NA.2 TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha Bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  7. K

    Sakata la DP World kina Musiba waanza kuibuka

    WACHATUSEME NA.2 TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha Bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  8. K

    Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

    WACHATUSEME NA.2 TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha Bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  9. K

    Lema atoa shutuma kali kwa Kanisa la KKKT DK kwa utitiri wa michango huku likipuuza huduma za Jamii kwa waumini wake

    WACHATUSEME NA.2 TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha Bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  10. K

    Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

    WACHATUSEME NA.2 TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha Bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  11. K

    Manara amepotosha, Bandari ya Dar ilikuwepo siku zote, Mreno na Muarabu wameikuta

    WACHATUSEME NA.2 TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha Bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  12. K

    Shura ya Maimamu yataka Mkataba wa Bandari Uboreshwe na haki itendeke kwa Makumi ya Masheikh walioko Jela nchi nzima

    WACHATUSEME NA.2 TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha Bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  13. K

    Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Wacha uwongo.mjinga mmoja wewe! Karafu ya morogoro inauzwa Kenya. Na chengine naona unazubgumzia vitu huvijui. Taasisi inayoshubulikia karafuu ni ZSTC ambayo.ikonchini ya wizara ya biashara ya znz na siyo.kilimo. Rudi tena kajipange ulete uchongani mwengine.
  14. K

    Serikali ya Zanzibar kuchukua na kumiliki eneo Bagamoyo ambalo liko Tanganyika ni kinyume na katiba ya Zanzibar

    Kumbe wewe wale walikuwa wakikuuita upuuzi, mvuta bangi, mtafuta kiki.kumbe hawajakosea. Kwanza fuatilia vizuri vp znN iliweza kumiliki ile ardhi? Na hivi unajua ya kuwa Serikalini ya Jamuhuri ya muungano inamiliki ardhi kubwa sana znz? Na inaonekana unaropokwa tu huijui znz wilaya ya...
  15. K

    Mbunge: Nyama ya ng’ombe ni gharama sana Zanzibar, kilo moja Tsh. 13,000

    Umeme znz ni ghali kuliko bara. Point ya mbunge ninkuqa ng'ombe akitoka T.bara kwenda ZNZ analipishwa kodi kama anasafirishwa nje ya mipaka ya Tanzania.
  16. K

    Simba kuvaa bips za umbro imekaaje?

    Wewe bumla unakurupuka tu. Hata wydad wamevaa hizo hizo bips zenye nembo ya umbro kwani ni wadhamini wa CAF na kumbuka wydad haudhaminiwi na Umbro!
  17. K

    Tangu lini Wizara ya Afya imekuwa ya Muungano?

    Wacheni ujinga kwa kukurupuka kuandika. Hiyo ni miradi pesa za uviko zile 1.5bil kutoka world bank( kama sijakosea). Pesa zimeyolea na Jamuhuri ya muungano. Kwa hivyo auditing yake inafanywa na GAG wa Tanzania.
  18. K

    Kwanini kipindi cha Kikwete Madaktari na Walimu waligoma?

    Suala halitaki akili kulijibu. Kikwete aliweza kuongeza maslahi ya wafanyakazi wa afya kuliko kiongozi mwengine yeyote wa Tanzania. Kwa hivyo Magufuli anaingia madaraki alikuta tayari kikwete ameshatengeneza maslahi ya madaktari. Na hawakuwa na sababu ya kugoma wakati.wa Magufuli kwani 80% ya...
Back
Top Bottom