Katika hili swala mi naona akina Tundu Lissu na mwakili wengine kama akina kibatala na wenzao wanasababisha hizi mambo maana sasa wameiacha kesi ya msingi ikisimama ambayo kwa mtizamo wangu wangeweza kushinda mapema kweupe, wao wanahangaikia rufaa kuhusu dhamana,,,sijui kama tuna nia kweli...
Kazi nzuri kiongozi,ni kweli tukiwa vyuoni huko kuna kila aina matumaini na madanganyo tunayodanganyana ila ukija kwenye uhalisia unakuta kila kitu kinaenda tofauti na ndio inafikia hatua ya wahitimu wengi kukata tamaa na maisha na kujiingiza kwenye maovu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.