Search results

  1. zegamba180

    Umeshawahi ku-share mpenzi mmoja na rafiki yako?

    Mimi nimewahi ila bila kujua. Ila demu alikuwa anajua
  2. zegamba180

    Rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume/zaidi

    Nakubaliana na mleta mada. Binafsi nina rafiki zangu wawili wakike. Tunasaidiana sana kwa kweli, ila washikaji sound sana. Wakati fulan tulikuwa 7 tukipiga maji, wakike alikuwa mmoja(rafiki yangu). Ghafla nikapokea simu yenye hitaji la pesa la haraka la kiasi cha 300,000. Jamaa wote watano...
  3. zegamba180

    Watoto wa matajiri wengi ni wapweke. Ni rahisi kuwa nao kama Marafii/Wapenzi

    Daah kuna kipindi kabla mdingi hajafariki, tulikuwa tunaishi upanga. Geti kali kinoma, yaah kucheza na wenzetu hadi jmoc au jpili siku ambazo hatukuwa tukienda xul tena hapo tulikuwa tunaenda Viwanja vya Gymkhana. Maisha yale sitaki wanangu wayaishi
  4. zegamba180

    Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

    Unashindwa kumuacha mpz? We jamaa simama kama mwanaume piga chini huyo
  5. zegamba180

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Duuh kuna watu hawajali kabisa afya zao. Hongeren kwa moyo wa ujasiri
  6. zegamba180

    Dada poa wa Buguruni na Sokota hawaogopi Corona, biashara inaendelea kama kawaida

    Biashara bila wateja inakufa. Toa ushauri kwa wateja wao kutokwenda sokoni
  7. zegamba180

    Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

    Mkuu Graph imetosha mdogo ako amekiri kikubwa hapo juu. Nikuombe mpe ushirikiano dogo afike mbali. Ila Graph Heshima nyingi kwako. NIkuulize tu kwa faida ya wenzangu; Ninaweza kujifunza programing from zero to 100? kwa kupitia msaada wa tutorial na kilatop changu home?
  8. zegamba180

    Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

    Developer heshima kwako. Ongeza juhud kaka. Maswali na ubishi uwe ni sehemu ya kukujenga zaidi.
  9. zegamba180

    Mpenzi amefumania message za mapenzi

    Mwandikie ujumbe wa kumtakia maisha mema huko ktk penzi jipya, na kumshukuru kwa yote. Kisha chuna kama mwezi bila kumpigia wala kutuma msg.
  10. zegamba180

    Singida: Hakimu Mfawidhi akamatwa akipokea rushwa

    Huyu hakimu akipatikana na hatia apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.😀😀😀😀😀😀
  11. zegamba180

    Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

    Mwache aende. kaka maisha ya msongo mabaya sana utakuja kufa na kuwaacha. Mwanamke akinajisi hafai tena narudia hafaiiiii. Mwanamke mpaka kuvua chupi zaid ya mara moja ana hisia.
  12. zegamba180

    Hoja zenye kufungua Akili: Dalili zinazopendekeza uwepo wa Mungu

    Wanaopinga uwepo wa MUNGU wajibu haya maswali; 1. Dunia ilitokana na nini? Nina maana ya uwepo wake 2. Binadamu ametokana na nini?
  13. zegamba180

    Hoja zenye kufungua Akili: Dalili zinazopendekeza uwepo wa Mungu

    Hongera mkuu umetoa hoja nzuri.
  14. zegamba180

    Hoja zenye kufungua Akili: Dalili zinazopendekeza uwepo wa Mungu

    king jovina, zuri na travis hongeren sana
  15. zegamba180

    Punguzo la bei kwa softwares za biashara

    Fanya biashara yako kijanja na kisasa zaidi. Tuna Software ya: 1. Shule: kuanzia nursery hadi Chuo. Ina vipengele vinne Academic, Library, Account na Payroll Taarifa za usajili wa mwanafunzi, kutunza rekodi ya majaribio/mitahani, kutoa ripoti, kutunza kumbukumbu ya...
  16. zegamba180

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Si kila ndiyo ni ndiyo
Back
Top Bottom