Mrejesho: Nahisi nimesalitiwa

Nakushauri tu umuite, mtoke out na mpeleke sehemu nzuri na tulivu. Hakikisha sikuhiyo umetupia na umependeza vizuri.
Kisha muagizie chakula kizuri na kinywaji anacho pendelea, na katikati ya mazungumzo mueleze vile unavyo jisiki juu yake. Mwambie jinsi alivyo kuumiza na kukujeruhi, na mueleze jinsi ambavyo haumuamini tena ingawa bado unampenda sana.
Wakati yote haya yakiendelea, jitahidi kuonyesha upendo wa wazi kwake na usionyeshe hasira kwake hata chembe.
Baada ya hapo, mpe nafasi na umsikikize. Kisha fanya maamuzi ya kumsamehe ama kumuacha kwa kueleza wazi.
Haahaah! Haya mambo ya wazungu bhn, huku bongo ukizingua ndio imeisha hiyo.
 
Habari wakuu

Jana nilileta uzi wangu hapa ulikua unahusu hisia zangu kwa mpenzi wangu kuwa kanisaliti usiku wa kuamkia jana. Na zile dot nilizoleta (Screenshot) wote mliziunga mkono kwamba ni kweli kuna usaliti ndani yake.

Sasa jana kiukweli aliendelea kutuma SMS kadhaa za kunisalimia ila sikumjibu chochote hadi usiku sana wakati nataka kulala nikamjibu akauliza nilipokua siku nzima ila nadhan hazikuzidi SMS 3 tukaagana.

Hata asubuhi hii kanisalimia na sijamjibu chochote maana huwa sio kawaida yake kunitxt asubuhi sana hivi nadhan ni kama anajishtukia.

Sasa wakuu naombeni ushauri ni njia gani za kuachana na mtu kama huyu ambae hauna ushahidi kamili wa kumuonesha ila unajua wazi kakusaliti?
Achana nae huyo,tafuta mwingine.
 
Mbona simple tu,sitisha mawasiliano nae,akileta K piga, akiomba buku mtose,
Akiuliza mbona sikuelewi nawe mjibu pia sikuelewi!!!
Akiuliza mipango ya ndoa mwambie bado upoupo kidogo,,
Mazoea yakizidi ya kukupa K ,muombe ndogo 0713.... Akikubali kutoa msanue mwambie siwezi kuoa mtu anayetoa jicho,,,ha ha ha..

Akigoma kutoa nawe mkazie mwambie ndio maana nimebadilika kwa vile hunisikilizi mm nataka nini?
Mwisho wa picha lazima atajua wewe si muoaji bali ni baharia mmoja hivi mafia ,,

Cheza na akili yake mkuu na tunaomba mrejesho maana mbinu hizi huko kwingine huwa wanalipia kuzipata,,,
Wewe gharama yako ni mrejesho,,asante
Asante mkuu ila kamwe nisiwahi kuwa wakwanza kumcontact sindio?
 
Back
Top Bottom