Umaskini unaletwa na kutaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Chagua kimoja unachokiweza na kukipenda kifanye kwa juhudi na ubunifu.....Hivyo hivyo katika taaluma huwezi kuwa eng. Dkt. Mtaalam wa kilimo n.k. . Chagua kimoja na kifanye na mwache Mwenye taaluma husika afanye kazi yake pale...
They forcing BT kama horticulturist ukiwa kwa watu hata ucjaribu kusema cereals ni horticultural crop ama zinasomwa.........Ndo maana wakaitwa horticulture.... ( Vegetables, ornamental plants, Spices en landscape designing and mantainance) That is horticulture......
wala co elective coarse kabisa.... ebu soma prospectus yako uone mtu Wa horticulture anatakiwa soma nini kama annual crops ipo bac hyo co horticulture ni coarse nyingine........ Horticulturist, we are not dealing with cereals kabisa.... Go anywhere in the world and try to find out whats...
Ongezeko kubwa la mahitaji ya matunda na mboga limefanya kilimo cha horticulture kukua kwa kwasi na kuwanufaisha wakulima wengi....
Watalam Wa Kilimo hicho wanawaletea Huduma maalum ya kitaalam ili kuwezesha Mkulima kunufaika kwa gharama ndogo na kukufikia popote ulipo ..Tembelea blog yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.