Search results

  1. K

    Natafuta Fundi mzuri wa magari ya Subaru Mbezi ya kimara

    Wakuuu, mwenye kufahamu fundi mbobevu wa magari ya subaru tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Aliyeeiba simu yangu ameonekana CCTV

    Jamani naomba msaada nini nifanye, nimemwona aliyeniibia simu yangu kwenye kamera live. Sasa ofisi inaendelea kufuatilia information kupitia huyo dada aliyekuja naye. Je, sasa hatua gani nichukue kwa kuwa tayari tumepata namba ya simu ya huyo aliyekuja naye. Tukio zima limeonekana kwenye kamera...
  3. K

    nataka kuishi morogoro

    wadau mwenye kufahamu mahali pazuri pa kuishi morogoro na pia kama anajua nyumba ya kupanga bei gani, tuwasiliane haraka
  4. K

    natafuta gari ya kununua

    jamani wana jamvi, nina 6.5mil nataka gari simple but economy mfano toyota carina GT or the like. Anayeuza ajitokeze.
  5. K

    Picha-maandamano chadema kahama ni nooooomaaaa

    Nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu, mji wa kahama ulisimama huwezi amini
  6. K

    kutoka dodoma, maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu

    kuhusu swala la arusha, waziri mkuu alidanganya taifa na bunge, mbuge lema aomba mwongozo kuhusu upotoshwaji huo, mama kawa mbogo
  7. K

    kuanzisha gym ya kisasa

    jamani wana jamnvi nataka kufungua mradi wa gym ya kisasa, je nini mahitaji na vifaa vya msingi kuanzia ni vipi. Naweza kuanza na kiasi gani maana gharama ya vifaa hivyo sijajua bado.
Back
Top Bottom