Search results

  1. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Biashara ya Digrii kutoka Uingereza na Marekani ni Ugonjwa kwa watu wengi

    Ndugu KANYEGELO , Nashukuru kwa kubandika andiko hili nililopost Facebook kwenye hili jukwaa. Najua mjadala huu sio rafiki sana kwa watu wengi maana :wakristo" na "makanisa" mengi yamejiingiza kwenye hii biashara kwa kasi sana. Hata hivyo nimeona ni vema niweke huu mjadala kwenye public, who...
  2. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kamgogoro baridi kati ya Kenya na Tanzania, nani yuko sahihi?

    I see. Sikupata muda wa kusoma yaliyomo humu kabla sijabandika mawazo yangu. Samahani kwa usumbufu niliousababisha.
  3. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kamgogoro baridi kati ya Kenya na Tanzania, nani yuko sahihi?

    Asante kwa kunijulisha. Ila nashawishika hatujafanana katika tulichoandika pamoja na kwamba mada inafanana.
  4. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kamgogoro baridi kati ya Kenya na Tanzania, nani yuko sahihi?

    UTANGULIZI: Kwa mara nyingine tena kumejitokeza “kamgogoro baridi” kati ya Kenya na Tanzania kanakofikirisha sana. Nimeona baadhi yetu tumekua wepesi kuilaumu serikali yetu kwa uharaka kutokana na kwa uamuzi "wa kibabe" wa kuifutia Kenya Airways kibali cha kuingia kwenye anga la Tanzania...
  5. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kijiji cha Lupaso, Kwanini umeniliza?

    Nashukuru kwa maoni yako
  6. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kijiji cha Lupaso, Kwanini umeniliza?

    Nahofia hii generalisation ni kubwa sana.
  7. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kijiji cha Lupaso, Kwanini umeniliza?

    Nashukuru kwa ufafanuzi ila huo ni mtazamo wako na unatofautiana sana na wa kwangu. hata hivyo ni sahihi kabisa kutofautina ila kupanua tafakuri ya mambo. MM Togolani
  8. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kijiji cha Lupaso, Kwanini umeniliza?

    Ndugu yangu Mokaze , sina hakika kama kuna mabadiliko ila mara ya mwisho nilipojifunza kiswahili miaka 21 iliyopita, na hasa lugha ya maishari, tulifundishwa mashairi hayasomwi kama simulizi la hadithi au usomaji wa habari. Unalazimika kujiongeza zaidi kuelewa kulichoandikwa na kilichokua kwenye...
  9. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kijiji cha Lupaso, Kwanini umeniliza?

    Uko sahihi ndugu yangu. Ni kweli kabisa itanilazimu kurudi darasani kuyajua uliyotegemea kuyaona. Kwa sasa nilijikita tu kufikisha ujumbe kishairi na kuhakikisha maneno yanasomeka. MM Togolani
  10. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kijiji cha Lupaso, Kwanini umeniliza?

    Asante sana ndugu kwa ushauri. Ila nikiri nilijikita zaidi kwenye ujumbe kuliko ufundi wa lugha. Mara ya mwisho kujifunza Kiswahili na kuandika mashairi kitalaamu ilikua miaka 21 iliyopita. Hhivyo sina "mamlaka ya kitalaamu" kutosha ya kuhakikisha kila kitu kimekaa sawa. MM Togolani
  11. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kijiji cha Lupaso, Kwanini umeniliza?

    “KIJIJI CHA LUPASO, KWA NINI UMENILIZA?” Lupaso Lupaso, wilaya ya Masasi. Kijiji mkorosho, jimbo la Nanyumbu. Kwako kuna korosho, zao la biashara. Wamakonde wamekupenda, makazi kuyaweka. Lupaso nina maswali, naomba unijibu. Nani alikuchora, mipaka yako kuiweka? Jinalo lilianzanje, Lupaso...
  12. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Simulizi Binafsi: Ninavyomkumbuka Rais wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa

    UTANGULIZI: Kwa neema ya Mungu nimefanikiwa kuishi kwenye uongozi wa marais wote 5 wa nchi yetu hadi sasa nikiwa tayari na uwezo wa kuelewa kinachoendelea duniani (kwa sehemu). Kwa kuwa nina shahuku (enthusiasm) kubwa na uongozi na dhana nzima ya kutumikia watu (ambayo siasa ni sehemu yake)...
  13. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Mkakati wa kuvutia watalii wa Dkt. Kigwangalla - "Relevance" yake na wazo mbadala

    Ndugu wana JamiiForum, Leo waziri wa maliasli na Utalii, Mh Dkt Kigwangala, ameshirikisha umma kupitia anuani yake ya twitter mkakati wa kuvutia watalii kutoka nchi za kiafrika (a strategy for regional tourism). Kwa kifupi, mkakati huu umelenga kuzifikia na kuzivutia nchi zenye mapato makubwa...
  14. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    I see. This is not good news at all. R&D inakua strategic inapofanyia katika cooperate level. Na hii sasa ndio inaweza kutusaidia kuelewa kwa nini watafiti wetu hawawezi kushindana na watafiti kwenye nchi za wenzetu. Maana kwenye nchi zao, makampuni yanatenga billions of money kila mwaka for R&D...
  15. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Kaka YEHODAYA nilihisi tu ungekuja na hoja wa ubora wa proposals maana ni wimbo tuliouzoea. Sio kazi ya mhadhiri/mtafiti kwenda kushindana na msanii kupata fedha za utafiti. Huko ni kutotambua nafasi zao na kuwavunjia heshima yao. Mimi nilitaka utazame shida iliyoko kwenye makampuni pia kwamba...
  16. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Thank you ndugu Jp Omuga for calling me names. Ila mchango au mawazo uliyotoa ambayo sijasikiliza ni yapi rafiki yangu? Kuwaita watafiti madaktari?
  17. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Kuna ambazo ziko kwenye mashelves/makabati na nyingine zinaendelea lakini hazijulikani kwenye public.
  18. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Ndugu YEHODAYA kwenye hili uko sahihi kwa sehemu kubwa. Ila nikuhakikishie wasomi wetu (hawa wa chuo che UDSM ninapofanya kazi) wengi wanafanya tafiti nyingi zinazofadhliwa na sekta binafsi. Hawategemei sana serikali. Ulichoshauri kuhusu ushirika na sekta binafsi nalo ni la msingi sana. Ila...
  19. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Thank you very much ndugu KUTATABHETAKULE for helping me respond to some of the issues I've been trying to respond to. The comments in this thread (any few others I posted in the past) show that many Tanzanians don't know what our scientists are doing. They think our scientists are helpless...
  20. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Habari mpya na njema katikati ya janga la Covid-19

    Ndugu YEHODAYA naomba nikujibu kwa maswali. Moja, unaweza kwanza kuweka historia ya kila ugunduzi ulioutaja na ulivyofikia ulipofikia kisha ndio uulize hayo maswali? Pili, dawa za kimasai ni maarufu kwa nani? Zinaitwaje? Tatu, ungejua serikali inafanyaje kazi ku-support gunduzi zipate majina...
Back
Top Bottom