Search results

  1. mzozaji

    Barabara mbovu Dar mjini nani alaumiwe?

    Alaumiwe Mayor wa jiji mamneno mengi vitendo hakuna!
  2. mzozaji

    Sony led Tv's

    What are the models? How many HDMI ports, How many USB ports, What is the refresh rate?
  3. mzozaji

    Sherehe za miaka 47 ya Muungano

    Leo kutakuwa na show ya makomandoo stay tuned mtu arekodi tuweke hapa...
  4. mzozaji

    Azam TV nao waanza usanii

    Eti hata usipolipia unaona! Acha uongo , mimi nilichelewa kulipa mara mbili na walikata sikuona kitu mpaka nilipolipa.. Sijui nani kakudanganya?
  5. mzozaji

    Simuelewielewi Kajumulo kwa hili!

    Kumbe Alex Kajumulo ni mwanzilishi wa taasisi ya kupigania haki za mashoga Afrika! Huyu hawezi kanyaga Uganda.. Sasa sijui na yeye ni mmojawao? Ingia kwenye linki hapo chini uone.
  6. mzozaji

    Dr Mwinyi: Dubai ni kisiwa!

    Leo Dr. Hussein Mwinyi alikuwa akitolea mfano wa uchumi wa visiwa unavyotegemea sekta fulani fulani na kwa confidence zote aliitolea mfano Dubai kama Kisiwa chenye free Port! Pia alitaka ushuru wa TRA uwe sawa Zanzibar na Bara. Sasa ushuru ukiwa sawa si ndio utaua kabisa biashara ya Zanzibar...
  7. mzozaji

    Vodacom si waaminifu wanatoa siri za wateja!

    Ndugu yangu kabla ya yote unatumia simu aina gani? Acha lawama kwa voda kwa kukurupuka.
  8. mzozaji

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Mkuu, hiyo channel umeipata kwenye frequency/symbol rate na transponder gani? Direction ya satellite je?
  9. mzozaji

    Kufuru, malkia wa nyuki atua dar na ndege ya watu 150 akiwa abiria pekee

    Si mchezo nadhani itakuwa imeleta mzigo tuu, ndio njia iliyobaki.
  10. mzozaji

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Mke wa Lipumba huyu hapa kwenye link chini. Huwa hataki kujihusisha na mambo ya siasa ya Lipumba kabisa, nadhani wamekubaliana hivyo.WARSHA YA WANAHABARI WA MKOA WA DODOMA KUHUSU UZINDUZI WA MPANGO KAZI WA KUTOKOMEZA UKATILI KWA WATOTO. | JESTINA GEORGE
  11. mzozaji

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Ni huyu hapa mkewe kama Refarii kwenye CV. Mpaka simu zipo hapo mpigieni mumuulize http://www.tiger.edu.pl/onas/rada/lipumba.pdf
  12. mzozaji

    Waliobanwa katika ajali wafariki

    Video ya taarifa ya habari ya ITV hiko hapa Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili wamebanwa na lori lililosheheni viazi. - YouTube
  13. mzozaji

    Mchezaji Bora Kuliko Wote Katika Historia ya Soka Tanzania

    Tunaomba ushahidi Bro sio mambo ya kudhania tuu. Ni mara ngapi Mogella alikuwa mfungaji bora wa ligi?
  14. mzozaji

    Mchezaji Bora Kuliko Wote Katika Historia ya Soka Tanzania

    Inaelekea watu wengi humu mnacheza na kuguess tuu au kuendekeza unazi wa Simba na Yanga. Pia kwa kuwa amlikuwa mnafuatilia mpira kwa kipindi fulani basi wachezaji wenu bora ni wa wakati huo tuu. Ukitaka kufananisha wachezaji wa wakati fulani na fulani fanya kwanza utafiti jua walicheza na akina...
  15. mzozaji

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Link ya Audio hii hapa Category: 1 - wavuti
  16. mzozaji

    Hatuna maji, Umeme, CT scanner, tunakimbilia kujenga Kigamboni kwa Matrilioni!!!

    Mbunge wao sasaa naye anawekewa zengwe kwa kuwatetea raia wake! Kuna jambo sio siri.
  17. mzozaji

    Hatuna maji, Umeme, CT scanner, tunakimbilia kujenga Kigamboni kwa Matrilioni!!!

    Wakuu nashangazwa sana na kasi ya hii serikali kushikilia kujenga mradi wa majumba ya kifahari Kigamboni kana kwamba ndio suruhisho la umaskini wetu. Nchi yetu haina maji safi sehemu nyingi na umeme wa mashaka kila siku lakini tunaona Mabilioni yakawekezwe kwenye majumba ambayo hatujui nani...
  18. mzozaji

    Habari za vitisho kwa Madaktari ni za kutunga - Kibonde wa Clouds FM

    Hivi Kwani Kibonde ni mwandishi wa habari?? Kibonde ni muongea habari tuu.
  19. mzozaji

    Habari za vitisho kwa Madaktari ni za kutunga - Kibonde wa Clouds FM

    Hata EPA na Richmond zilianza hivi hivi wakasema ni Uongo, mara oooh baadae ikadhihirika ni kweli. Serikali hata siku moja haiwezi kubali makosa. Kibonde inabidi na yeye atuthibithishie kuwa anachosema ni kweli sio maoni yake tuu..
  20. mzozaji

    Taifa stars vs Mozambique.

    Almost doesn't count...
Back
Top Bottom