Vodacom si waaminifu wanatoa siri za wateja!

Mkuu nimewahi kufanya kazi na moja ya kampuni ya mawasiliano ya simu hapa bongo, hayo mambo ya kuvujisha info yapo sana lakini ni kosa kisheria. Hivyo unaweza kuwafungulia kesi na ukadai fidia ya kosa hilo.
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!
Pole sana kiongozi,wataarifu hao jamaa wa voda
 
Mimi naweza kuona sms za mtu yeyote na sifanyi kazi na mtandao wowote na simu. So its very possible kwamba hata voda hawajahusika.

Ukibisha nipe namba yako nikuanike hapa hapa JF.

hebu jalibu hii tuamini ukwel wako 0756405597
 
Atakua anafanya kazi kwenye moja ya kampuni za simu hapa bongo huyo!!! Kuna jamaa yangu anafanya TAKUKURU kila siku anaenda kwenye mitandao ya simu kudukua info na kupeleka watu kwa Plato!! Usile mlungula kwa m-pesa au bank account!! Hand by hand sio mahotelini,huko kuna camera,ikibidi hata porini!! Ukiona gari lakufata kwa nyuma,halieleweki tupa mzigo chini, sepa!! Hapo ushahidi ushakosa meno!
 
Mimi naweza kuona sms za mtu yeyote na sifanyi kazi na mtandao wowote na simu. So its very possible kwamba hata voda hawajahusika.

Ukibisha nipe namba yako nikuanike hapa hapa JF.

Mimi nabisha na namba yangu ni hiyo anza kunianika O713 800 800
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

Wewe mkeo ndo yule anaefanya kazi pale mchicha?
 
Sina hakika ya usemayo mleta mada kwani,
1. Je huo ujumbe uliandika ukasave kwenye simu yako??
2. Je hakuna mtu aliyeshika simu yako?
3. Kama ulimtumia mtu, je huyo uliyemtumia ni msiri kiasi gani?
4. Je simu ya mpokeaji haikushikwa na yeyote?
5. Aliyekuelezea siri zako analengo gani mpaka akufuatilie kwenye mitandao? Na kwa nini iwe kwenye siri hizo tuu?
6. Je kakuhakikishia kua kapatiwa na company husika?
7. Unavidhibitisho tosha kua company husika ndiyo wametoa siri zako?
These are the qns to ask kabla ya kutuhumu compny husika kwani kwanza mpaka mtu apate kufahamu ujumbe uliotumwa na mtu ni kazi sana hata police lazima awe na repot maalumu yenye kueleza kwa nini apatiwe. Mazungumzo au ujumbe hautolewi kirahisi yaani mtu aende tu then apatiwe. Unless there something bihind hiyo siri yako.
Ushauri anzia police ili alokuletea hizo habari aseme alikopata then kama ni compny husika tcra wapo free kuwaona usikae kimya itakusaidia wewe na mtu mwingine yeyote.
 
utatoka povu bure cku hizi kuna apps za kusave sms hata kama umezifuta na hata call plus namba kinachofanyika baadae ni kuzitoa kama unavyotoa file kwenye flash chunguza simu yako kwanza pole mkuu na kwenye haya makampuni ya simu kwa vodacom nimepata kuwa hapo suala la mtu kusoma sms ni ngumu mnoooo na ni wachache mnooo na wanalipwa vzr wenye hizo access hawawezi fanya hvy
 
waendelee kusoma tu , siku wakutane na sms ninazowatumia dada zao nao wapate uhondo !
 
Kweli ndugi humeandika vitu vya muhimu sana
 
utatoka povu bure cku hizi kuna apps za kusave sms hata kama umezifuta na hata call plus namba kinachofanyika baadae ni kuzitoa kama unavyotoa file kwenye flash chunguza simu yako kwanza pole mkuu na kwenye haya makampuni ya simu kwa vodacom nimepata kuwa hapo suala la mtu kusoma sms ni ngumu mnoooo na ni wachache mnooo na wanalipwa vzr wenye hizo access hawawezi fanya hvy

Hakuna sehemu unapoweza kuona content ya sms...huo ndio ukweli.
 
Sema idara uliyokua au uliopo ndo huwezi ona hizi mambo!! Sasa wewe uko finance sms za nini?? Kila siku wadau wanatoa siri za watu!! Mtu akimhisi demu wake au mke wake anaenda kwenye kampuni la mtandao anaotumia,anatoa hela kidogo anazipa sms zote!!!
Mbili watu wa usalama wanapataje sms pindi wakihitaji ushaidi mahakamani????
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

Vodacom wana afadhali hao tigo ndio balaaah
 
jamaa amepanic tu kwa mambo yake maovu kuwa open, so anamtafuta mchawi kwani hana udhibitisho halisi kivipi sir zimetolewa na voda
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

Iweje uwatuhumu voda moja kwa moja, kwani huyo uliyetumiana nae hizo sms hawezi zijivujisha? kakuchezea game huyo huyo unaeandikiana nae.
 
Kiwango cha uaminifu kwa company ya mawasiliano ya Vodacom inatia mashaka sana.
Nikiwa mtumiaji wa mtandao wa voda yamenikuta baada ya kugundua sms zangu zimevuja tena mbaya zaidi bila ridhaa yangu.
Kuna mtu ameweza ku access siri zangu na ameniambia neno baada ya neno kuhusu sms zangu. Tena mimi na yeye tupo mikoa tofauti.
Hii ni mbaya sana sana sana maana mimi si mwalifu na zile sms ni za personal ila za siri na hapakuwa na sababu ya kuzifikia maana zimeniondolea utu mbele ya yule mtu!

Nimeumia sana siwezi elezea zaidi ila voda na baadhi ya wafanyajazi wake si waaminifu!

Mimi si mwajiriwa wa company yoyote shindani ya mawasiliano hivyo ninayoeleza si mambo ya ushindani.

IMENIUMA SANA SANA SANA!

Ndugu yangu kabla ya yote unatumia simu aina gani? Acha lawama kwa voda kwa kukurupuka.
 
Back
Top Bottom