Search results

  1. A

    Machinga Complex, Is a failure, Mr President Execute Plan B!

    Wanajamii nina yafuatayo: 1. Mradi wa Majengo ya Machinga Complex ni failure tupu kweli kwa kuwa " wateja wa wamanchinga wako mitaani. Ni kweli kabisa ulibuniwa kwa maslahi binafsi na sio kwa WAMACHINGA. Ushirikishwaji wa wadau ni muhimu sana. Matokeo yake ni kujenga "White Elephants" za miaka...
  2. A

    Revolutions: What went wrong in the west?

    The West has never gone wrong so long as you understand their diplomacy. Because Americans and their partners have no permanent friends or enemies but have permanent interests. It is why they have treated Libya differently from Tunisia, Egypt, Yemen, Bahrain and Syria. In Libya (see photos and...
  3. A

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Nasikitika hata sisi wana wa Afrika hatujijui sisi ni akina nani na Gadafi ni nani. Kweli Gadafi kakaa madarakani kipindi kirefu. Je, ni kweli wananchi wake hawampendi? Hawa waasi kwanini watokee mji mmoja tu Bengazi na sio nchi yote? Gadafi ndio mwana- wa Afrika pekee anayewasumbua...
  4. A

    Serikali/CCM: Mtazikwepaje hasira zetu kwa uzembe huu!

    Tatizo ni serikali aumwalimu mkuu, kamati ya shule na wazazi wa watoto hawa? Hivi hata kama Chadema watakuwa madarakani watasimamia mpaka ngazi ya kitongoji. Huu ni ukosefu wa ubunifu. Watakosaje hata kufanya-partition ya plywood au mbao za Mafinga? Serekali ya CCM imejaa uzembe kweli wa kila...
  5. A

    Shauna Sand - Checking Out Bikinis On Miami Beach 26-02-11 - 5x

    Dear contributor and my fellow JFs. I respect freedom of speech and press. But I don't respect those who destroy other's way of life (culture). And why do you degrade the woman that much? These picture are for the Americans and Europeans, but not for the Africans and especially African women...
  6. A

    Mashine za mbao

    Ukowa wapi na bei gani. Ikiwezekana picha zake.:A S 13:
  7. A

    Kwanini Bongo Mchango wa Maprofessor na Ma-PHD holders hauonekani?

    Mwana-JF, Ni kweli kabisa na ni aibu kwa jamii yetu. Sababu kubwa wasomi na wasio wasomi mradi una kipato hatujui kutumia MUDA (Time Management). Muda mwingi kwenye mabaa na Klabu za vileo badala ya kusoma na kujadiliana na kufanya ugunduzi mpya. Wengi tukitoka kazini (saa 10.00 mpaka 4.00 au...
  8. A

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Ndugu Mjasiriamali matarajiwa! Biashara yeyote ni upatikanaji wa "soko" - yaani wanunuzi. Ni kazi yako kufanya utafiti wa kuwepo kwa "soko". Wengine hawatakusaidia sana. Pili, unataka kutengeneza sabuni ya aina gani? - Kwa maana kulingana na matakwa ya "soko" lako! Sabuni ya maji, unga...
  9. A

    Jimmy Wales: A man of Honour and Great Intergrity

    Ni kweli kabisa. Kikubwa tuichangie Wikipedia japo $ 5.00 kila mwezi. Mimi nafanya hivyo, wewe je? RA
  10. A

    Nahitaji Msaada wa kupata web browser ya sony ericsson.

    Ndugu Mpendwa, Web site ya spny ericsson ipo mbona kwenye search bar? Ukiingia utapata software na accessories za simu yako bure! Jaribu tena, hasa kwa kutumia google. RA
  11. A

    CUF kuungana na CHADEMA bungeni itadhoofisha kambi ya upinzani, ni hatari.

    Wana JF, Pamoja na kila Mtz ana haki ya kutoa maoni yake ili mradi asivunje sheria naomba maoni yetu yawe ya kujenga na sio kuleta chuki au mfarakano kwa hali yeyote ile. Baadhi ya wachangiaji katika mada hii wana mwelekeo wa kiitikadi ya KIDINI na si kisiasa. Suala la CUF. CCM na la CHADEMA...
  12. A

    Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

    Swali zuri sana! Jibu analo Nyelandu mwenyewe. Kwa mbali nasikia amefadhiliwa na Shirika moja wapo la Marekani. Aulizwe mwenyewe aliendaje Marekani, alisomea nini na wapi? Na aliporudi ni vipi alijiunga na Mfuko wa Mama Mkapa na kuacha mabilioni ya fedha hapo. Nasikia- Tafadhali wahusika...
  13. A

    Mambo ya Ndoa

    Rafiki, Masuala ya Ndoa kwa wengi ni masuala ya imani - "faiith" . Ndoa ni kuvuka daraja na kulivunja. Hurudi nyuma! Sijui dini yako inasemaje. Rejea kwenye vitabu vya imani yako. Kama Muislamu tafadhali rejea Kuruani na Sunna tafadhali. Mambo yote yako wazi! Kwa Ex-boy au Girl friend - unataka...
  14. A

    Mambo ya Ndoa

    Rafiki, Masuala ya Ndoa kwa wengi ni masuala ya imani - "faiith" . Ndoa ni kuvuka daraja na kulivunja. Hurudi nyuma! Sijui dini yako inasemaje. Rejea kwenye vitabu vya imani yako. Kama Muislamu tafadhali rejea Kuruani na Sunna tafadhali. Mambo yote yako wazi! Kwa Ex-boy au Girl friend - unataka...
  15. A

    Elections 2010 Tafakari picha hii na linganisha na mdahalo wa leo

    Nasikitika mchoraji nadhani ana chuki ya binafsi kwa Kikwete. Kanzu inashiria nini? Mbona hukuchora picha ya Dr Slaa na rozari yake? Tujitafakari nafsi zetu. Kila kiongozi ana mapungufu yake. Tangu wa awamu ya kwanza mpaka ya nne. nadhani hata wewe ungeachiwa kuongoza yangekupata yale yale...
  16. A

    Sweden Democrats fear Islamic revolution

    It is unfortunate that many non-Moslem brothers and sisters don't take trouble to study and understand Islam in depth. Many times we dwell into studying Moslems not Islam. It is why many become scarred with Islam instead of being scarred by Moslems. Islam and Moslems are two different things...
  17. A

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Wanajamii, Hizo picha ni sehemu tu ya "iceberg". Huna haja ya kwenda BK au Handeni, Tanga. Zungukia Tandale, Temeke Mikoroshini, Buguruni Mnyamani, Vingunguti kwa wananchi. Zungukia shule za "Kata" za Dar sio za Ngorongoro, Arumeru, Bagamoyo, Kakonko na hata Tabata. Utashangaa wanafunzi hawana...
Back
Top Bottom