Search results

  1. kataza

    Enzi za utoto uliaminishwa jambo gani la uongo?

    Habarini wapendwa, Niende moja kwa moja kwenye mada mimi niniaminishwa kuwa kusoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana moja kwa moja unafanikiwa ila jamani yote nimeyafanya ila mafanikio sasa duh.
  2. kataza

    Mechi ya kirafiki Kilimanjaro stars vs Zanzibar heroes saa ngapi

    Please naomba muda watu wa mpira
  3. kataza

    Naomba mwenye link ya matokeo ya kachaguliwa kidato cha kwanza mwaka 2024 atume

    Habari comrades kichwa cha habari chajieleza .Mwenye nayo please [emoji120] atume humu
  4. kataza

    Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu aina mbali mbali zifuatazo za alphard

    Msaada please [emoji120] [emoji22] [emoji24] Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  5. kataza

    Nimeamua kununua Toyota alphard naombeni elimu kuhusu ni aina gani ni nzuri hasa zenye CC 2390

    Hello comrades kichwa cha habari kinajieleza please msinichoke naombeni elimu... Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  6. kataza

    Naomba kupewa elimu kuhusu tatizo la ingrown nails

    Habari comrades, Nina ndugu yangu anatatizo tajwa kwa muda. Wa miaka 7 sasa ametumia antibiotics na antifungal lakini hakuna nafuu kabisaaaa. Naomba kufahamishwa kuhusu risk factors, causes, investigations and Rx Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  7. kataza

    Bachelor of Arts in Economics and Sociology

    Hello ladies and gentlemen, Please naomba kuuliza mtu akisoma kozi hiyo tajwa hapo juu atafanya kazi wapi na atatambulika kama nani?
  8. kataza

    Ni aina gani ya vitambaa vya suti ni nzuri kwa mwanaume in terms of rangi na ubora

    Hello comrades Naomba ufafanuzi kuhusu maada tajwa hapo juu. Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  9. kataza

    Naomba kujuzwa changamoto za gari ya Toyota Alphard na aina zake

    Sorry naomba kujua matoleo ya Toyota Alphard na changamoto zake....na je kati ya Toyota ALPHARD na Toyota crown ipi gari nzuri sana kwa mtu wa kipato cha kati. Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  10. kataza

    Ulifanya kosa gani shule hadi kengele ikagongwa wanafunzi wakusanyike kwa ajili yako?

    Hello ladies and gentlemen, Katika maisha ya shule kuna visa na mikasa mingi sana tupe kisa chako. Changu mimi ni; Kuna siku tulichelewa kurudi shule kulikuwa na ile ratiba ya unatoka shule saa sita then unarudi saa saba kasoro. Sasa mimi nilipoenda home bi mkubwa ndio kwanza anabandika mboga...
  11. kataza

    Nawezaje kulog out application ya chuo cha ustawi wa jamii maana nimesahau password na username

    Hello comrades naomba anaejua anielekeze kulog out maana nimesahau password.
  12. kataza

    Naomba link ya kuangalia selection za form one kwa mwaka 2023

    Hello Samahani mwenye kujua jinsi gani naweza kupata selection za form one kwa wanafunzi waliomaliza std 7 mwaka 2023. Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
  13. kataza

    Biomedical equipment engineering inahusika na nini hasa. Je, unaweza kufanya kazi mazingira tofauti na hospitali?

    Hello comrades, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Naombeni sana ufafanuzi. Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom